geekizuri02
Member
- Oct 16, 2022
- 18
- 60
Njia nyingineFungua kanisa.
Matundamatunda,mkaa nk,Tatizo la Nchi hii wasomi wengi mawazo ya ni kuajiriwa!mtu akiwa na degree.Kwa wenzetu ni tofauti,Mfano vitality chrincko bondia wa Ukraine ni Dr bingwa lakini kajiongeza kuwa bondia.Changamoto kubwa katika jamii yetu kwa sasa ni AJIRA hasa kwa vijana, watu wamemaliza vyuo wakiwa na degree nzuri na matokeo mazuri lakini wako mitaani, hakuna ajira pia serkali yetu kila kukicha ni "Kujiajiri". Kwa maoni ni biashara ipi mtu anaweza kuanzisha akiwa na mtaji mdogo kabisa kama laki moja(100.000) na akatoka kimaisha mjini?. Biashara inahitaji uvumilivu kwahivyo atakama huchukua muda au kuleta faida pole pole nayo bado ni biashara.
Wapi huko!Laki moja unapata Earphones 100
Tafuta kimeza kidogo kabisa kategeshe karibu na standi wewe utakuwa unauza buku mbili mbili
Mtaji ukikuwa unaongeza na screen protector zile za buku 2
DsmWapi huko!
Heee 😃 kuna watu wamepagawa aiseeWekeza kwenye bandari za Tanzania