Heri niendelee kubaki single.
Cool down..Act your age please
Mwanaume anahitaji mwanamke anaemsikiliza na kumtii.
Mwanamke anahitaji mwanaume anayempenda na kumjali.
Ili mwanamke upendwe na kujaliwa inatakiwa uwe msikivu na mtiifu.
Ili mwanaume usikilizwe na awe mtiifu itakulazimu umpende na kumjali.
Over
But given the choice, who would you rather be with?
Haisaidii na yenyewe, ila palipo na upendo kuna imani, sababu yan kuwa na mtu humpend huwa haifai kabisa, kimsingi hivi vitu vinaenda pamoja, upendo na imani.
Keeping them both temporarily Hadi mmoja atakaposhindwa na kumuachia mwingineBut given the choice, who would you rather be with?
Me nimepata niliempenda lakini sijawahi kumuaminiMahusiano hujengwa na vitu vingi kama mapenzi, imani, huruma n.k towards mwenzi wako. Mahusiano 'ideal' ni yale ambayo unampenda, unamthamini, unamhurumia, unamuamini, unamtamani mpenzi wako. Lakini mara nyingine unaweza kulazimika kukubaliana na hali na kuchagua vita yako ya kupigana.
Je, ikitokea umepewa chaguo kati ya kuwa na mtu unayemwamini bila kumpenda na unayempenda bila kumuamini utachagua ipi?
View attachment 1752551