Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,732
Una shida sehemu fulanNakuamini lakini sikupendi ndio maana sijaja PM.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una shida sehemu fulanNakuamini lakini sikupendi ndio maana sijaja PM.
Mi namwamini Ila sijawahi mpendaMe nimepata niliempenda lakini sijawahi kumuamini
Teh teh teh....nimejisikia kukutania tu.Una shida sehemu fulan
Apo ni vizuri ukawa nao wote kwa pamoja.Mahusiano hujengwa na vitu vingi kama mapenzi, imani, huruma n.k towards mwenzi wako. Mahusiano 'ideal' ni yale ambayo unampenda, unamthamini, unamhurumia, unamuamini, unamtamani mpenzi wako. Lakini mara nyingine unaweza kulazimika kukubaliana na hali na kuchagua vita yako ya kupigana.
Je, ikitokea umepewa chaguo kati ya kuwa na mtu unayemwamini bila kumpenda na unayempenda bila kumuamini utachagua ipi?
View attachment 1752551