demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Tukirudi nyuma kabisa historia inawatambua kuwa Simba SC ndiyo klabu pekee
Tanzania.
Tukumbuke ishu ya Singano, Yondani, Chuji na Hassan Kessy hawa wote walisepa pale kwasababu ya changamoto ya kuchezewa mikataba yao na uongozi wa Simba SC
Dirisha hili la usajili wamesha fanya yao. Yaani wameamua kwenda kumsajili mchezaji ambaye hajamaliza mkataba wake.
Ikumbukwe kuwa Kagera Sugar sio wababaishaji, wanapo lalamika kuhusu. Jambo fulani huwa wana msingi katika hoja yao. Haiwezekani wao waseme mchezaji ana mkataba kwao ili hali isiwe hivyo.
Mashaka zaidi iko upande wa Simba SC ambapo wamekuwa na historia ya kuwa timu pekee katika historia ya Mpira wa miguu Tanzania Bara kulaghai wachezaji ambao bado wana mikataba upande mwingine au mikataba yao kuchezewa.
Shitaka hili limepelekwa kwa kamati maalumu ya usuluhishi ya TFF.
Je Unadhani kanuni zilizopo zinaweza kutumika kuwapa haki yao Kagera Sugar au "BUSARA" itatumika ili kuwanufaisha Simba SC na kuwanyima haki Kagera Sugar?
Ikumbukwe kuwa baadhi ya viongozi walio ndani ya TFF walianza kusikika wakisema kuwa ni vyema vilabu husika vikae vitumie BUSARA kusuruhisha jambo hili, na wala hawakusikika kuwataka vilabu kutumia kanuni zilizopo kutatua changamoto hii.