Ulimbo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 3,768
- 4,038
Dikteta ni neno la kumtaja mtawala asiyebanwa na sheria na kutumia nguvu ya dola kuendeleza utawala wake na kutokubali upinzani dhidi yake.
Dikteta uwa mtendaji mkuu wa serikali na amiri jeshi mkuu. Anashika pia madaraka ya kihakimu. Anaweza kuwaondoa maafisa wote wengine madarakani, anaweza kutoa hukumu ya mauti na kuagiza kifo cha mtu yeyote.
Dikteta ni mtawala mkali anayeshika mamlaka yote mkononi mwake na kutawala kwa mabavu. Mara nyingi dikteta hakubali uchaguzi wa kisiasa au anahakikisha uchaguzi si huru.
Haheshimu haki za kibinadamu kama zinamsumbua. Anatoa amri kama sheria; kama anaruhusu kuwepo kwa bunge na mawaziri ni sharti wafuate maagizo yake. Hakubali upinzani dhidi yake na matamko ya mawazo yasiyopendezwa naye.
Dicteta uwaishtaki wapinzani wake kuwa wasaliti na kushawishi mahakama ya kuwahukumu.
Je Tanzania tupo au tunaingia katika mfumo huu wa kiudikteta?