The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,113
- 6,251
May all souls find enlightment.
Wakuu katika wakali wa ubunifu na magineous wa nyakati hizi jina moja haliwezi kukosekana ni Elon Musk.
Huyu somo amekua na mchango mkubwa sana katika kuboresha maisha ya kizazi chetu kwa uchache tu tunaweza kuzungumzia mchango wake katika sekta technology kupitia kampuni zake za Space X, kampuni ya Tezla, Hyperloop nk nk.
Somo anatajwa kama moja ya watu wanaofanya kazi kwa juhudi sana (workholic) kuna kipindi ilisemekana somo analala ndani ya kampuni akiamka anaendelea na kazi bampa to bampa.
Majarida kadhaa ya uchumi yanamtaja kama mtu wa kwanza anaekaribia kua Trillionaire wa kwanza (Tukiachana na simulizi za kina Sulemani na Manka Mussa)
Lakini kuna jambo moja naona limemshinda huyu somo. Ubunifu wake mwingi umekua na matokeo chanya ila sio kwa kuinunua Twitter na kuibadili jina kua X. Utagundua kua kila mtandao wa X unapotajwa lazima mzungumzaji ataongezea maneno "mtandao uliofahamika kama twitter hapo awali"
Vyombo vya habari vyote ndani na nje ya nchi hata BBC, DW, Altazeera mitandao kama Quora, Linkedin. Redit nk kote utakuwa wakiutaja mtandao wa X wanaongezea maneno "formerly known as Twitter" hata baada ya miaka zaidi ya 4 kupita.
Ni kama mtandao wa X unapotajwa unahitaji kutambulishwa upwa tena na tena na tena kua ni twitter ya zamani.