DHAMBI Z
Naona pia katika hi
Naona katika hii list ya dhambi ya ziada bado ya kujipamba haimo, hivyo sio dhambi 😜😜
LIST YA DHAMBI ZOTE ZIPO HUWEZI KUZIANDIKA ZOTE NI nyingi sana,hata MAWAZO MABAYA,MANENO MABAYA MATUSI...KAMARI michezo ya kubahatisha KUBETI ,KUANGALIA SINEMA za violence ,michezo ya kupigana,mieleka,mashindano ya urembo na kujipamba UMISS mitindo AU MAPAMBO NA KUJIPAMBA
supee heros superman,batman,spider man movies,
NYIMBO.miziki ya kidunia hata hii inayodhaniwa kuwa ni gospel ila ina midundo ya kidunia kama hiphop au ina verse zenye maudhui ya kidunia,
SHEREHE za kidunia kama hollowen christmas,n.k
LIST NI NDEFU...kusogeza mpaka wa kiwanja chako kwa jirani..
KUCHUKUA AU KUTUMIA kitu cha mtu mwingine bila ruhusa yake hata kama ni kitu kidogo kama mfano..UNATUMIA JIKO LA JIRANI YAKO KUPASHA MBOGA halafu bila ruhusa ya jirani yako au kalamu ya mwenzako ofisini au chaja bila ruhusa yako(NI WIZI)
Kushabikia michezo ya kidunia hata ushabiki wa damu wa timu za mpira wa soccer n.k
DHAMBI ZOTE NI ROHO KAMILI na vitu vitaongea kushuhudia kudai HUKUMU mfano kalamu itaongea kukushitaki hukumu japo zinaonekana ni dhambi ndogo ndogo ,mfano kutumia tu kalamu ya mtu bila ruhusa yake
KWA KIFUPI ..tunahitaji toba kila wakati, kila siku kwa kuwa sisi ni wenye dhambi ,tuombe USAIDIZI ROHO MTAKATIFU MSAIDIZI WETU maana bila msaada wa Roho mtakatifu kutufundisha na kutupa nguvu ya kuziepuka dhambi ,atatusaidia pia kutufundisha kuomba kusali pia.
KWA AKILI ZETU KWA NGUVU ZETU PEKE YETU BILA HIYO NEEMA YAKE HATUWEZI KUSHINDA DHAMBI KUZIACHA DHAMBI kwa sababu mwili ni dhaifu unapenda raha na dhambi zinaonekana kama ni TAMU au ni raha au starehe au ufahari.