Elections 2010 Je ni haki CHADEMA kushika dola

rafiki2010

Member
Joined
Sep 23, 2010
Posts
23
Reaction score
0
kweli nimeamini HATAMU IKISHIKWA PUNDA SHARTI LAZIMA AENDE ,,,,WANANCHI wenzangu mnadanganyi kwa maneno ivi hamji kuwa hao mnaowapigania ni mafisadi zaidi jinsi mnavyofikiri ki ukweli CHADEMA si chama cha wananchi ni cha kwa ajili ya mataba ya makabila ya watu fulani ,, ni jambo la wazi kuwa hata majina ya wabumbe wao wa viti maalum waliowapendekeza awamu hii ni watu kutoka kaskazini ya moshi na arusha ila uchaguzi uliofanyika ndani ya chama umewatengua na kuwapakipaumbele watu wanao wahitaji kikubwa ch akuduwaza kama sio kushangaza mpaka sasa hawajawatangaza watu viongozi waliochaguliwa na wanachama wao hii inaonyesha wazi kuwa matokeo wameyabatilisha na kuna watu wao wanaowahitaji kushika nyazifa.. hiii sii democrasia ya kweli ndani ya chama kidogo kama chadema je swali ni kwamba wataweza vipi kuongoza nchi kubwa kama tanzania yenye kuhitaji umakini wa kutosha ilikufanikisha malendeleo ya watanzania iwapo wanaonyesha dhahiri kushindwa kuimalisha democrasia ndani ya chama chao huu si ndio mwanzo wa kuleta ukabila ndani ya nchi na kuifanya nchi iwe kwa ajili ya manufaa ya watu wachache ,,

KUWA MAKINI HESHIMU KURA YAKO KWA MANUFAA YA TAIFA LETU KWA UJEMLA
 
will shut up your big mouth. Damn fool
 
Nakubaliana na wewe kuwa CHADEMA kushika dola siyo haki.

CHADEMA kushika Dola ni WAJIBU.
 
kweli nimeamini HATAMU IKISHIKWA PUNDA SHARTI LAZIMA AENDE ,,,,WANANCHI wenzangu mnadanganyi kwa maneno ivi hamji kuwa hao mnaowapigania ni mafisadi zaidi jinsi mnavyofikiri ki ukweli CHADEMA si chama cha wananchi ni cha kwa ajili ya mataba ya makabila ya watu fulani ,, ni jambo la wazi kuwa hata majina ya wabumbe wao wa viti maalum waliowapendekeza awamu hii ni watu kutoka kaskazini ya moshi na arusha ila uchaguzi uliofanyika ndani ya chama umewatengua na kuwapakipaumbele watu wanao wahitaji kikubwa ch akuduwaza kama sio kushangaza mpaka sasa hawajawatangaza watu viongozi waliochaguliwa na wanachama wao hii inaonyesha wazi kuwa matokeo wameyabatilisha na kuna watu wao wanaowahitaji kushika nyazifa.. hiii sii democrasia ya kweli ndani ya chama kidogo kama chadema je swali ni kwamba wataweza vipi kuongoza nchi kubwa kama tanzania yenye kuhitaji umakini wa kutosha ilikufanikisha malendeleo ya watanzania iwapo wanaonyesha dhahiri kushindwa kuimalisha democrasia ndani ya chama chao huu si ndio mwanzo wa kuleta ukabila ndani ya nchi na kuifanya nchi iwe kwa ajili ya manufaa ya watu wachache ,,

KUWA MAKINI HESHIMU KURA YAKO KWA MANUFAA YA TAIFA LETU KWA UJEMLA
Ulikuwa unatapika au kuandika.
 
Wewe lazima uwe wa Chama Cha Mafisadi au hujui usemalo! Una fikra mgando na mtazamo hasi! Hufai!
 
kweli nimeamini HATAMU IKISHIKWA PUNDA SHARTI LAZIMA AENDE ,,,,WANANCHI wenzangu mnadanganyi kwa maneno ivi hamji kuwa hao mnaowapigania ni mafisadi zaidi jinsi mnavyofikiri ki ukweli CHADEMA si chama cha wananchi ni cha kwa ajili ya mataba ya makabila ya watu fulani ,, ni jambo la wazi kuwa hata majina ya wabumbe wao wa viti maalum waliowapendekeza awamu hii ni watu kutoka kaskazini ya moshi na arusha ila uchaguzi uliofanyika ndani ya chama umewatengua na kuwapakipaumbele watu wanao wahitaji kikubwa ch akuduwaza kama sio kushangaza mpaka sasa hawajawatangaza watu viongozi waliochaguliwa na wanachama wao hii inaonyesha wazi kuwa matokeo wameyabatilisha na kuna watu wao wanaowahitaji kushika nyazifa.. hiii sii democrasia ya kweli ndani ya chama kidogo kama chadema je swali ni kwamba wataweza vipi kuongoza nchi kubwa kama tanzania yenye kuhitaji umakini wa kutosha ilikufanikisha malendeleo ya watanzania iwapo wanaonyesha dhahiri kushindwa kuimalisha democrasia ndani ya chama chao huu si ndio mwanzo wa kuleta ukabila ndani ya nchi na kuifanya nchi iwe kwa ajili ya manufaa ya watu wachache ,,

KUWA MAKINI HESHIMU KURA YAKO KWA MANUFAA YA TAIFA LETU KWA UJEMLA

CHAMA CHA MAFISADI kina hatimiliki ya nchi hii?
 
Umeongea vizuri sana!! lakini inawezekana si kosa lako ni kosa la walio kutuma mkuu. Hata kama umesomea St something, wala hujawahi kukaa maeneo tofauti na mjini, lazima utakuwa na hoja kama yako mkuu.

Jaribu kuangalia upande mwingine wa shilingi, jaribu kuona jinsi watu wanakufa kwa kukosa elimu, kukosa wataalamu wanaokimbilia nchi zingine kupata maslahi bora, jaribu kuona mbali zaidi kwa kufunga hata safari moja uende nchi mojawapo iliyo maeneo ya Asia ulinganishe kidogo na ya kwetu uone tunakosa wapi, jaribu kukaa kichi ufikirie hivi kwa nini hata hivi vilivyo ndani ya uwezo wetu tunahitaji misaada kutoka nje? Hivi kweli suala ya kujenga shule za kata bila walimu ni suluhisho la kudumu? Hivi ni haki kwa wanafunzi vyuoni kulala wawili wawili kitanda kimoja? Hivi tumekosa nini hadi watu pale mwananyamala walale watu wanne kitanda kimoja na vichanga vyao? Hebu tembelea hata shule moja ya kata huko kijiji ambako hata mwalimu wa kufundisha hakuna leo hii karne ya 21 "karne ta sayansi na Technolojia" inakuwa vipi bado tunakuwa na miundo mbinu ile ile na bunge likikaa linapanga kile kile kila mwaka badala ya kuibua miradi mipya kama kutengeneza bidhaa bora na imara kwa ajili ya export tunajifanya hatuwezi.

Mkuu nenda mbali zaidi kwa kuangalia tunahitaji nini ili tuendelee, je ni viongozi pekee yake? Je nani tunamtaka leo hii ili atuongoze katika vision hizi za kujenga misingi ya uchumi imara, uongozi na uzalendo imara? CCM au Chadema au CUF au Vyama vingine, jibu ni hapana, ila hapo ndo tunaanzia. Katika hawa tulionao katika uchaguzi huu nani aliye afadhali? CCM a big No. Chadema afadhali zaidi kuliko huyo wa mwanzoni. CUF nao kidogo lakini tunaangalia sasa kati ya hawa wawili Chadema na CUF, Chadema wameonyesha njia nzuri katika muda wa miaka mitano iliyo pita tumejifunza mengi toka kwao, bla wao pengine si zaidi ya watanzania milioni 8 wangekuwa wamejiandikisha kupiga kura kisa hakuna jipya. CUF tumeona muafaka na CCM ulivyokuwa kitendawili, hivyo imani yetu kwao imepungua. NDIYO MAANA TUNAWAONA CHADEMA KAMA WAKOMBOZI wa hii nchi inayohitaji uzalendo zaidi na si umimi kama ilivyo ndani ya CCM. Najua mkuu una ulaji toka kwenye kodi zetu lakini utazilipa siku moja. Kama wewe ni mzee basi uzee utakuishia vibaya kwa kuendekeza siasa za maji taka. Jaribu kuwa na huruma hata kama huna jamaa ambao hata hawajui dunia ya leo inaendaje. wamekusomesha sasa unaanza kuwatemea mate kisa huwakumbuki. Loh, nakupa pole.

VOTE FOR Dr SLAA on october 31.
 
Kuuliza kuhusu Chadema kushika hatamu ni sawa na kumshangaa mzungu ulaya hujui ndo kwao?
 
kweli nimeamini HATAMU IKISHIKWA PUNDA SHARTI LAZIMA AENDE ,,,,WANANCHI wenzangu mnadanganyi kwa maneno ivi hamji kuwa hao mnaowapigania ni mafisadi zaidi jinsi mnavyofikiri ki ukweli CHADEMA si chama cha wananchi ni cha kwa ajili ya mataba ya makabila ya watu fulani ,, ni jambo la wazi kuwa hata majina ya wabumbe wao wa viti maalum waliowapendekeza awamu hii ni watu kutoka kaskazini ya moshi na arusha ila uchaguzi uliofanyika ndani ya chama umewatengua na kuwapakipaumbele watu wanao wahitaji kikubwa ch akuduwaza kama sio kushangaza mpaka sasa hawajawatangaza watu viongozi waliochaguliwa na wanachama wao hii inaonyesha wazi kuwa matokeo wameyabatilisha na kuna watu wao wanaowahitaji kushika nyazifa.. hiii sii democrasia ya kweli ndani ya chama kidogo kama chadema je swali ni kwamba wataweza vipi kuongoza nchi kubwa kama tanzania yenye kuhitaji umakini wa kutosha ilikufanikisha malendeleo ya watanzania iwapo wanaonyesha dhahiri kushindwa kuimalisha democrasia ndani ya chama chao huu si ndio mwanzo wa kuleta ukabila ndani ya nchi na kuifanya nchi iwe kwa ajili ya manufaa ya watu wachache ,,

KUWA MAKINI HESHIMU KURA YAKO KWA MANUFAA YA TAIFA LETU KWA UJEMLA

CHADEMA kina usajili wa kudumu pale nyumba ya Demokrasia kwa Tendwa, ni chama cha siasa, kimekidhi matakwa yote ya katiba ya nchi yetu, na ndio maana wanashiriki uchaguzi mkuu, na wana uwezo wa kushika dola.

Huu ni wivu wa kike na chuki binafsi na ukibaraka na utumwa na ugonjwa ulinao wewe!
 
kweli nimeamini HATAMU IKISHIKWA PUNDA SHARTI LAZIMA AENDE ,,,,WANANCHI wenzangu mnadanganyi kwa maneno ivi hamji kuwa hao mnaowapigania ni mafisadi zaidi jinsi mnavyofikiri ki ukweli CHADEMA si chama cha wananchi ni cha kwa ajili ya mataba ya makabila ya watu fulani ,, ni jambo la wazi kuwa hata majina ya wabumbe wao wa viti maalum waliowapendekeza awamu hii ni watu kutoka kaskazini ya moshi na arusha ila uchaguzi uliofanyika ndani ya chama umewatengua na kuwapakipaumbele watu wanao wahitaji kikubwa ch akuduwaza kama sio kushangaza mpaka sasa hawajawatangaza watu viongozi waliochaguliwa na wanachama wao hii inaonyesha wazi kuwa matokeo wameyabatilisha na kuna watu wao wanaowahitaji kushika nyazifa.. hiii sii democrasia ya kweli ndani ya chama kidogo kama chadema je swali ni kwamba wataweza vipi kuongoza nchi kubwa kama tanzania yenye kuhitaji umakini wa kutosha ilikufanikisha malendeleo ya watanzania iwapo wanaonyesha dhahiri kushindwa kuimalisha democrasia ndani ya chama chao huu si ndio mwanzo wa kuleta ukabila ndani ya nchi na kuifanya nchi iwe kwa ajili ya manufaa ya watu wachache ,,

KUWA MAKINI HESHIMU KURA YAKO KWA MANUFAA YA TAIFA LETU KWA UJEMLA

Kajifunze kuandika then urudi uandike upuuzi wako!
 
Back
Top Bottom