Mkuu kama vile unaongea mwenyewe. Ila najaribu kukuelewa kwamba unazungumzia SUA.
Unaongelea haki baada ya kupata chuo? Waulize waliokosa vyuo kama ni haki ama sio uwasikie. Pili weeh soma tu, huko mbele kwenye ajira utagundua kila ulichosoma kuna siku utakitumia
dah,ila kiukwel nimeongea na maprof:wa injinia full math[pure]..na kaxema huna math itakutexa maisha labda kama kwel uwe umejicomit kusoma ndo utafaulu!
Leo nikiwa mitaa ya departiment of agriculture engeneering nikataka kujua coz zilvyo,dah! Kiukwel n pagumu mfano:bioprocessing and post harvest engeneering first year wapo 45,2nd year=34 3rd year=4 4th year=3, hzi nidata nilizopewa na mkuu wa departiment ya agri.engeneering,sababu ni zifuatazo,PCB,CBG NA EGM..wanasoma coz hzo ambapo 95% ya engeneering ni mathematics![pure]
dah,ila kiukwel nimeongea na maprof:wa injinia full math[pure]..na kaxema huna math itakutexa maisha labda kama kwel uwe umejicomit kusoma ndo utafaulu!
Wewe upo darasa la ngapi? Ni Sekondari gani hiyo yenye department ya Agric Engeering na ina michepuo wa PCB, CBG na EGM na masomo ya Bio processing na post harvest engineering.Leo nikiwa mitaa ya departiment of agriculture engeneering nikataka kujua coz zilvyo,dah! Kiukwel n pagumu mfano:bioprocessing and post harvest engeneering first year wapo 45,2nd year=34 3rd year=4 4th year=3, hzi nidata nilizopewa na mkuu wa departiment ya agri.engeneering,sababu ni zifuatazo,PCB,CBG NA EGM..wanasoma coz hzo ambapo 95% ya engeneering ni mathematics![pure]
Wewe upo darasa la ngapi? Ni Sekondari gani hiyo yenye department ya Agric Engeering na ina michepuo wa PCB, CBG na EGM na masomo ya Bio processing na post harvest engineering.
Huyo head of departiment katoka wapi anayekwambia eti mwaka wa tatu wapo wa4 ni nan? may be hujui acha ni kwambie kuna kozi hata myu aliyesoma hkl anweza faulu eg AE111, dogo piga shule jmoc una paper ya kukupima uwezo wako sasa kuwa makini ni creditless na ni lazima uisome
Sasa tatizp lipo wapi! kama mtu anajijua number hazipandi si anaacha kusoma engineering, anenda zake kusoma Sociology au Rural Development.yeah,wapo pcb na egm wanaisoma...kikubwa uwe na c olevel na s kwa bam advance