Je ni haki egm na pcb wasome bioprocessing and postharvest engeneering.?

Lugano5

R I P
Joined
Jul 15, 2010
Posts
4,520
Reaction score
757
Leo nikiwa mitaa ya departiment of agriculture engeneering nikataka kujua coz zilvyo,dah! Kiukwel n pagumu mfano:bioprocessing and post harvest engeneering first year wapo 45,2nd year=34 3rd year=4 4th year=3, hzi nidata nilizopewa na mkuu wa departiment ya agri.engeneering,sababu ni zifuatazo,PCB,CBG NA EGM..wanasoma coz hzo ambapo 95% ya engeneering ni mathematics![pure]
 
Unaongelea haki baada ya kupata chuo? Waulize waliokosa vyuo kama ni haki ama sio uwasikie. Pili weeh soma tu, huko mbele kwenye ajira utagundua kila ulichosoma kuna siku utakitumia
 
dah,ila kiukwel nimeongea na maprof:wa injinia full math[pure]..na kaxema huna math itakutexa maisha labda kama kwel uwe umejicomit kusoma ndo utafaulu!
 
Wanafunzi wa siku hizi mna kiherehere, unisamehe bure. Sasa hata hujaanza kusoma na tayati unaanza kuongea na maprof unahoji sylabus na qualigications za wanafunzi! Hivi mnajua mchakato wa ktengeneza sylabus? Na approval system? Wewe soma bwana, amini kuna watu wameumiza vichwa wakaweka hizo mambo sawa.
dah,ila kiukwel nimeongea na maprof:wa injinia full math[pure]..na kaxema huna math itakutexa maisha labda kama kwel uwe umejicomit kusoma ndo utafaulu!
 
Umeandika kama vile unaongea na mwanafunzi mwenzako!!! Hebu jitahidi kujieleza kidogo, ushafika chuo sasa, mawasiliano ni mojawapo ya nyenzo muhimu sana katika taaluma na masuala ya kazi.

Pangilia unachoandika na uelezee vizuri ili watu tuelewe unataka kusema nini.
 
Leo nikiwa mitaa ya departiment of agriculture engeneering nikataka kujua coz zilvyo,dah! Kiukwel n pagumu mfano:bioprocessing and post harvest engeneering first year wapo 45,2nd year=34 3rd year=4 4th year=3, hzi nidata nilizopewa na mkuu wa departiment ya agri.engeneering,sababu ni zifuatazo,PCB,CBG NA EGM..wanasoma coz hzo ambapo 95% ya engeneering ni mathematics![pure]

kwan dogo we we ulisoma combntn gan???????
maana hyo bio. procsng usifkr utasoma eng. pekee kuna had koz za fud sc. ,za human nutrtn unasoma mdogo wangu.....
kama koz haikuhusu.........
sepa mapema
usije ukaanza kutafuta chet tangia utakapo anza mwaka wa kwanza..........
maana hapo sua watu wana disko kwa aina mbl
low gpa chn ya 2
na zle credt hr blow 16 per year..........umeliwa kchwa
 
dah,ila kiukwel nimeongea na maprof:wa injinia full math[pure]..na kaxema huna math itakutexa maisha labda kama kwel uwe umejicomit kusoma ndo utafaulu!

Sipendagi hizi lugha! Umeshafika University embu kuwa basi kabla hawajakukuza huko,
Kama ungetumia "s" ungepungukiwa na nini?
Punguwani mkubwa we na lazima udisko, ure not university material yet!
 
Huyo head of departiment katoka wapi anayekwambia eti mwaka wa tatu wapo wa4 ni nan? may be hujui acha ni kwambie kuna kozi hata myu aliyesoma hkl anweza faulu eg AE111, dogo piga shule jmoc una paper ya kukupima uwezo wako sasa kuwa makini ni creditless na ni lazima uisome
 
Leo nikiwa mitaa ya departiment of agriculture engeneering nikataka kujua coz zilvyo,dah! Kiukwel n pagumu mfano:bioprocessing and post harvest engeneering first year wapo 45,2nd year=34 3rd year=4 4th year=3, hzi nidata nilizopewa na mkuu wa departiment ya agri.engeneering,sababu ni zifuatazo,PCB,CBG NA EGM..wanasoma coz hzo ambapo 95% ya engeneering ni mathematics![pure]
Wewe upo darasa la ngapi? Ni Sekondari gani hiyo yenye department ya Agric Engeering na ina michepuo wa PCB, CBG na EGM na masomo ya Bio processing na post harvest engineering.
 
yeah,wapo pcb na egm wanaisoma...kikubwa uwe na c olevel na s kwa bam advance
 
Huyo head of departiment katoka wapi anayekwambia eti mwaka wa tatu wapo wa4 ni nan? may be hujui acha ni kwambie kuna kozi hata myu aliyesoma hkl anweza faulu eg AE111, dogo piga shule jmoc una paper ya kukupima uwezo wako sasa kuwa makini ni creditless na ni lazima uisome

tupe takwimu sahih kaka
 
yeah,wapo pcb na egm wanaisoma...kikubwa uwe na c olevel na s kwa bam advance
Sasa tatizp lipo wapi! kama mtu anajijua number hazipandi si anaacha kusoma engineering, anenda zake kusoma Sociology au Rural Development.
 
Leo nikiwa mitaa ya departiment of agriculture engeneering nikataka kujua coz zilvyo,dah! Kiukwel n pagumu mfano:bioprocessing and post harvest engeneering first year wapo 45,2nd year=34 3rd year=4 4th year=3, hzi nidata nilizopewa na mkuu wa departiment ya agri.engeneering,sababu ni zifuatazo,PCB,CBG NA EGM..wanasoma coz hzo ambapo 95% ya engeneering ni mathematics![pure]

hahahaahahha yaani nlikua naanza kusinzia ila baada ya kuona uzi wako usingiozi umekata wote!!!!! mkuu kwanza lazima ujue hapo uko chuo tena SUA!!
We unaona hao wa egm sijui pcb hawafai lakini mwisho wa siku utajukuta wewe ndo umeliunga kwenda mazimbu pale freedom square kusapua!!!
kaa tulia usome na uache fwatilia nani kasoma nini....kua makini akina mpanduji...nyarusanda...dr salim wasije wakala kichwa!!!
NB
ukiwa unaandika uzi andika ueleweke, we ni msomi sasa!!
 
dah,ila kiukwel nimeongea na maprof:wa injinia full math[pure]..na kaxema huna math itakutexa maisha labda kama kwel uwe umejicomit kusoma ndo utafaulu!

Kwa uandishi huu unanitia shaka sana sijui na wewe unaenda kusoma engineering..
 
Back
Top Bottom