Mhaligani wana jf.naombeni msaada wenu kimawazo mimi nampenda sana dada yangu(mtoto w baba mdogo) kimapenzi.na yy anaonesha kunijali na kuwa na wivu na mimi.mimi baba yangu alinikataa tokea nikiwa mdogo.je kuna tatizo kumpenda kimapenzi? maana alivyonikataa alimaanisha mimi cyo ndugu yao.wadau naombeni msaada wenu.je NITANGAZE NIA?
ww shindwa ktk jina la Yesu hizi tabia za kihindi/maponjori umepata wapi? au umetoka Moshi, baadhi huko moshi wana tabia ya kurudia dada zao wa damu,ww stop it
ww shindwa ktk jina la Yesu hizi tabia za kihindi/maponjori umepata wapi? au umetoka Moshi, baadhi huko moshi wana tabia ya kurudia dada zao wa damu,ww stop it