je ni haki kula 2ndi.

je ni haki kula 2ndi.

ENZO

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Posts
4,244
Reaction score
1,741
Mhaligani wana jf.naombeni msaada wenu kimawazo mimi nampenda sana dada yangu(mtoto w baba mdogo) kimapenzi.na yy anaonesha kunijali na kuwa na wivu na mimi.mimi baba yangu alinikataa tokea nikiwa mdogo.je kuna tatizo kumpenda kimapenzi? maana alivyonikataa alimaanisha mimi cyo ndugu yao.wadau naombeni msaada wenu.je NITANGAZE NIA?
 
Mmmh hii si mchezo.....kiutu uzima mimi nakushauri uachane na huyo dada..........mabinti wamejaa kibao!!!
 
ni dhambi mbaya kulala na dada yako! (blood sister)
 
hapana kibisa:nono:
kuna evil (biological) faactors
kama nitamaa :bowl:
achatu :nono: mpende kamaBinadamu
 
Rudisha nyuma majeshi. Tafuta sehemu nyingine ya kushambulia. Aibu mwanangu
 
ww shindwa ktk jina la Yesu hizi tabia za kihindi/maponjori umepata wapi? au umetoka Moshi, baadhi huko moshi wana tabia ya kurudia dada zao wa damu,ww stop it
 
Mod/inv, tafadhari funga huu mjadala maana tukiendelea jamvi litakutwa na yaliyoikuta sodoma na gomora.
 
Kamua man..sio ndugu wewe ulishakataliwa kitambo sana
 
achana na hizo fikra.tafuta msichana mwingine.dhambi hii itakutafuna hadi unaingia kaburini-acha kabisa
 
achana na hizo fikra.tafuta msichana mwingine.dhambi hii itakutafuna hadi unaingia kaburini-acha kabisa

wht about thos hu wanatwanga kotekote.
 
ww shindwa ktk jina la Yesu hizi tabia za kihindi/maponjori umepata wapi? au umetoka Moshi, baadhi huko moshi wana tabia ya kurudia dada zao wa damu,ww stop it

mi mixer mpemba na mchaga.nimekulia mkoa w moshi.
 
Back
Top Bottom