bacha
JF-Expert Member
- Aug 19, 2010
- 4,282
- 797
:doh:..............:nono:
Hivi Preta, kwenye hiyo avatar yako umekumbuka kuvaa nguo ya ndani kweli au macho yangu tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
:doh:..............:nono:
Mhaligani wana jf.naombeni msaada wenu kimawazo mimi nampenda sana dada yangu(mtoto w baba mdogo) kimapenzi.na yy anaonesha kunijali na kuwa na wivu na mimi.mimi baba yangu alinikataa tokea nikiwa mdogo.je kuna tatizo kumpenda kimapenzi? maana alivyonikataa alimaanisha mimi cyo ndugu yao.wadau naombeni msaada wenu.je NITANGAZE NIA?

Tuombe radhi haraka sana!ww shindwa ktk jina la Yesu hizi tabia za kihindi/maponjori umepata wapi? au umetoka Moshi, baadhi huko moshi wana tabia ya kurudia dada zao wa damu,ww stop it
CKIZA NENDA PINA DNA, KAMA KWELI NI BABA YAKO NA UNAHAKI YA KUTOKULA....... BUT MAKE UR OWN JUDGEMENT MY FRIEND,, ILA WEWE INAONEKA UMESHAONJA WATAKA TUU KUPITISHWA BUNGE HILI LA WANA JF:smile-big:
kulaa
mmmmh................
soma torati kabla hujalala. Huyo ni umbu lako, usifunue uchi wake. Pia imeandikwa kuwa mwanamme alalae na mwanamke asiye mkewe hana akili kwani anafanya dhambi juu ya mwili wake mwenyewe. Sasa kama ww unataka tu kumzini huyu dadako nadhani jibu umelipata.
mi mwislam hiyo ki2 cguc.ukinidirect kwnye msaaf nitakushukuru sana mkuu.
Tangaza tu.....mi' sijaona tatizo hapo
Na kwa Waislam mtoto wa baba mkubwa/mdogo wako si ndugu yako. Kuoa ruhsaaa, wazi bila ya chenga kwenye Kuran