Nikweli kabisa au wakishafuta iwe ndo mwisho haitawahi kutumika tenakiusalama wa mtumiaji wanakosea.... kuna mtu amepata usumbufu sana baada ya kusajili line kumbe namba hiyo ilishafanya utapeli mtumiaji akaacha kuitumia ikafutwa ktk system,
jamaa akaja kuisajili hakujua aliyefanyiwa utapeli bado huwa ana itrack. akanasa mpaka kuja kulisolve kapoteza muda na hela. so ni bora waruhusu kufuta usajili kisheria.
Natamani kukuelewa, huyu Mtu alisumbuliwa vipi Ilhali namba ilikuwa Mfu kwa miezi sita, Kisha yeye akapewa kihalali na Vodacom kwa kutumia Majina yake tofauti na ya huyo aliyefanya Utapeli..kiusalama wa mtumiaji wanakosea.... kuna mtu amepata usumbufu sana baada ya kusajili line kumbe namba hiyo ilishafanya utapeli mtumiaji akaacha kuitumia ikafutwa ktk system,
jamaa akaja kuisajili hakujua aliyefanyiwa utapeli bado huwa ana itrack. akanasa mpaka kuja kulisolve kapoteza muda na hela. so ni bora waruhusu kufuta usajili kisheria.
Five-Os wetu sio wapumbavu ila ni wapigaji. Few days tu za interrogation they know mtu sio muhusika. Wanaendelea kukuhold ili wakuvute upepo.Natamani kukuelewa, huyu Mtu alisumbuliwa vipi Ilhali namba ilikuwa Mfu kwa miezi sita, Kisha yeye akapewa kihalali na Vodacom kwa kutumia Majina yake tofauti na ya huyo aliyefanya Utapeli..
Inatakiwa namba ikishafutwa isije kutumika tenaNatamani kukuelewa, huyu Mtu alisumbuliwa vipi Ilhali namba ilikuwa Mfu kwa miezi sita, Kisha yeye akapewa kihalali na Vodacom kwa kutumia Majina yake tofauti na ya huyo aliyefanya Utapeli..
Kuna muda voda wanazingua sana lo