HAHAHAH!NGUMU KUMEZA HIYO MKUU fansidagreti thinka huu msimamo ni mkali kuliko wa anodi shwazinega.
beki tu ze topik! mimi nitavumilia ,nitamsubiria na yeye siku yuko moto moto keshajiandaa na vijihoti poti vyake namwambia no entri tudei, navuta shuka nalala upande wa ukutani. taifa starz 0 - ivory coast 0. tunasubiri mechi ya marejeano
OK.......... nyamayao njoo upate kitchen party hapa lol
Sasa akili kichwani nakubali but utakubali kiwango cha chini? maana najua hutayapata yale manjonjo ya kubinjuka kwa raha kama wifi amekasirika!
Ndio ni njia nzuri ya kumaliza ugomvi but inakuwaga applied kama mmeshaombana msamaha flani sasa kwa vile mnakuwa mnacement ule msamaha bana. why?
Na je wewe wifi amekuudhi haswa halafu unapanda kityandani tu anaanza kudai gemu utatoa ushirikiano wakati bado una hasira?
Umefoji hapa Xpin mbona mgomvi weye?Thanks MJ1! You mean a lot to me! Sasa kaambie hako kabinti, kasipoteze hii bahati adimu!
greti thinka huu msimamo ni mkali kuliko wa anodi shwazinega.
beki tu ze topik! mimi nitavumilia ,nitamsubiria na yeye siku yuko moto moto keshajiandaa na vijihoti poti vyake namwambia no entri tudei, navuta shuka nalala upande wa ukutani. taifa starz 0 - ivory coast 0. tunasubiri mechi ya marejeano
Hahahahahaha duh kaazi kweli kweli naona hapa anakula za kinyamayaonyamayao hatari kabisa lol
inakuwa veri tafu lakini uzalendo ukikushinda njiani inabidi utumie plan B aka "soldier theori"HAHAHAH!NGUMU KUMEZA HIYO MKUU fansida
mie kwa kweli hapana, kama amenikera ile kukera akanikosessha raha kabisa, ahesabu tutapitiliza ucku, tena bia huruma, kwangu sex ni raha/starehe na sio karaha...kama cpo sawa hakifanyiki kitu, lakini kama ni mie nimemkorofisha huo ndio mtego wangu, nitafanya juu chini tuyamalizie kwa dizaini hii, always nafanikiwa.
Hakuna ugomvi utakaomruhusu mke wangu kuninyima game! Mi hata kama pafomensi itakuwa low kama ya punyet.o, Mi mtarimbo wangu ukishatema najilalia zangu na ugomvi unaendelea kama kawa! Ugomvi wa mdomoni hauna uhusiano na ushirikiano wa baioloji zetu!
GM7 mbona nipo mie? Heri ya mwaka mpya my dia
Ni kweli sababu zipo but sometimes huwa hamzisemi mnasingizia tu pombe au unakuta mtu anarudi late akiulizwa ni mkali na kejeli juu sasa hasira si zinamzidi wife? Bado hatakiwi kumnyima? Suppose wife amekukuta unamchuchua dada wa kazi live, akikasirika hana haki ya kukunyima? (kumchuchua ni kumchokoza kimahaba)
hivi kwanini mtu ujitese, kwanini ufanye kumridhisha yeye tu angali limekuboa? mie hapana bwana, ni njia nzuri ya kuweka mambo sawa nakubali lakini sio hata hatujaonelea na kutaka muafaka mtu arukie kutomasa....kwangu hapana.
Umefoji hapa Xpin mbona mgomvi weye?
mi namwangalia tu aendeleee na fojari hapa
hivi kwanini mtu ujitese, kwanini ufanye kumridhisha yeye tu angali limekuboa? mie hapana bwana, ni njia nzuri ya kuweka mambo sawa nakubali lakini sio hata hatujaonelea na kutaka muafaka mtu arukie kutomasa....kwangu hapana.
mimi na wewe MJ1!!!!!!!!!!! Hamna hata haja ya kuapolojaizi!!! I new wat u meant!!
hapo kwa Xpin, apology accepted!!!
back to ze topiki.....namfungia vioo mpaka tatizo liishe maana ukikubali tu ndo mwisho wa kila kitu hata lile alokuudhi huna nguvu tene ya kukonfront aaaah!!! staki bana!!
Kweli mpwa umedata! does it mean utakuwa unatetea maslahi binafsi tu?
Kweli nyamayao but mbona wanakimbia kujibu kama wao ndo tumewaudhi halafu pruuuu tunakimbilia gemu watatupa?
Mwengine utakuta anajua kabisa amekubore na atajichelewesha kurudi nyumbani au kuingia chumbani kwa kuhofia kusemwa na atavizia umeshapitiwa na usingizi then anapanda kitandani na kuanza kukugusisha na tochi kama anagonga hodi vile!!
ndo maana kesi za mahazbendi kuwarepu mawaifu zinaongezeka bikozi ya hizi azabu ambazo haziko kwenye katiba ya serikali aka mgomo cold.
kwanza kwanini ujitese kumridhisha mtu aliekuhudhi/kacrisha?...haombi msamaha bali akili yake ipo hapo chini tu....mie kwangu hili gumu sana....nataka niridhike/nimridhishe.
nipo akili kichwani endelea
na kwa kuongezea tu kidogo unapomnyima mwenzio kitu yake ndo unampa tiketi ya kwenda kutafuta za kulipia
Adhabu ya kumnyima unyumba inaweza kufanya kazi kutegemea na kosa lenyewe, sio makosa yote. Mfano kosa la kurudi usiku wa manane, ukimnyima unyumba unaweza kuwa hutatui tatizo bali unaliongeza.
Anaweza akawa katoka nyumba ndogo, kashapewa unyumba kiasi kwamba akifika nyumbani anahitaji kulala tu....Wewe unapomnyima unyumba haisadii tena, basi anashukuru kwa kuwa kachoka na anaogopa yasije kumfika ya MC Lema (RIP).