Je ni haki?

Je ni haki?

greti thinka huu msimamo ni mkali kuliko wa anodi shwazinega.
beki tu ze topik! mimi nitavumilia ,nitamsubiria na yeye siku yuko moto moto keshajiandaa na vijihoti poti vyake namwambia no entri tudei, navuta shuka nalala upande wa ukutani. taifa starz 0 - ivory coast 0. tunasubiri mechi ya marejeano
HAHAHAH!NGUMU KUMEZA HIYO MKUU fansida
 
OK.......... nyamayao njoo upate kitchen party hapa lol

Sasa akili kichwani nakubali but utakubali kiwango cha chini?
maana najua hutayapata yale manjonjo ya kubinjuka kwa raha kama wifi amekasirika!

Ndio ni njia nzuri ya kumaliza ugomvi but inakuwaga applied kama mmeshaombana msamaha flani sasa kwa vile mnakuwa mnacement ule msamaha bana. why?

Na je wewe wifi amekuudhi haswa halafu unapanda kityandani tu anaanza kudai gemu utatoa ushirikiano wakati bado una hasira?

hivi kwanini mtu ujitese, kwanini ufanye kumridhisha yeye tu angali limekuboa? mie hapana bwana, ni njia nzuri ya kuweka mambo sawa nakubali lakini sio hata hatujaonelea na kutaka muafaka mtu arukie kutomasa....kwangu hapana.
 
greti thinka huu msimamo ni mkali kuliko wa anodi shwazinega.
beki tu ze topik! mimi nitavumilia ,nitamsubiria na yeye siku yuko moto moto keshajiandaa na vijihoti poti vyake namwambia no entri tudei, navuta shuka nalala upande wa ukutani. taifa starz 0 - ivory coast 0. tunasubiri mechi ya marejeano

Mi namshukuru Mungu kwa kuninyima uvumilivu! Game lazima acheze! Na kwa hasira siku akiwa kwenye joto anahitaji huduma, mtarimbo unaweka mgomo. Sijui atauamshaje bila hiari yangu?
 
mie kwa kweli hapana, kama amenikera ile kukera akanikosessha raha kabisa, ahesabu tutapitiliza ucku, tena bia huruma, kwangu sex ni raha/starehe na sio karaha...kama cpo sawa hakifanyiki kitu, lakini kama ni mie nimemkorofisha huo ndio mtego wangu, nitafanya juu chini tuyamalizie kwa dizaini hii, always nafanikiwa.

huyo jamaa anafaa kuwa mchungaji achunge kondoo wa bwana
 
Hakuna ugomvi utakaomruhusu mke wangu kuninyima game! Mi hata kama pafomensi itakuwa low kama ya punyet.o, Mi mtarimbo wangu ukishatema najilalia zangu na ugomvi unaendelea kama kawa! Ugomvi wa mdomoni hauna uhusiano na ushirikiano wa baioloji zetu!

Kweli mpwa umedata! does it mean utakuwa unatetea maslahi binafsi tu?
 
GM7 mbona nipo mie? Heri ya mwaka mpya my dia

Ni kweli sababu zipo but sometimes huwa hamzisemi mnasingizia tu pombe au unakuta mtu anarudi late akiulizwa ni mkali na kejeli juu sasa hasira si zinamzidi wife? Bado hatakiwi kumnyima? Suppose wife amekukuta unamchuchua dada wa kazi live, akikasirika hana haki ya kukunyima? (kumchuchua ni kumchokoza kimahaba)

Hapa ana haki. Hata mimi nikukute live na jamaa fulani mnapeana raha, usirudi kwangu. teh teh
 
hivi kwanini mtu ujitese, kwanini ufanye kumridhisha yeye tu angali limekuboa? mie hapana bwana, ni njia nzuri ya kuweka mambo sawa nakubali lakini sio hata hatujaonelea na kutaka muafaka mtu arukie kutomasa....kwangu hapana.

za kinyamayao zinalipa asikwambie mtu!!! nasisitiza hali mpaka tufikie mwafaka
 
ndo maana kesi za mahazbendi kuwarepu mawaifu zinaongezeka bikozi ya hizi azabu ambazo haziko kwenye katiba ya serikali aka mgomo cold.
 
hivi kwanini mtu ujitese, kwanini ufanye kumridhisha yeye tu angali limekuboa? mie hapana bwana, ni njia nzuri ya kuweka mambo sawa nakubali lakini sio hata hatujaonelea na kutaka muafaka mtu arukie kutomasa....kwangu hapana.

Kweli nyamayao but mbona wanakimbia kujibu kama wao ndo tumewaudhi halafu pruuuu tunakimbilia gemu watatupa?

Mwengine utakuta anajua kabisa amekubore na atajichelewesha kurudi nyumbani au kuingia chumbani kwa kuhofia kusemwa na atavizia umeshapitiwa na usingizi then anapanda kitandani na kuanza kukugusisha na tochi kama anagonga hodi vile!!
 
mimi na wewe MJ1!!!!!!!!!!! Hamna hata haja ya kuapolojaizi!!! I new wat u meant!!

hapo kwa Xpin, apology accepted!!!

back to ze topiki.....namfungia vioo mpaka tatizo liishe maana ukikubali tu ndo mwisho wa kila kitu hata lile alokuudhi huna nguvu tene ya kukonfront aaaah!!! staki bana!!

kwanza kwanini ujitese kumridhisha mtu aliekuhudhi/kacrisha?...haombi msamaha bali akili yake ipo hapo chini tu....mie kwangu hili gumu sana....nataka niridhike/nimridhishe.
 
Kweli mpwa umedata! does it mean utakuwa unatetea maslahi binafsi tu?

Maslahi binafsi shurti yatetewe! Yani tugombane kwakuwa sijakupitia kazini, au nimesusia send off party ya rafiki yako, afu ugomvi huo usababishe mtarimbo ukose haki yake! Mama utatoa mzigo, utake usitake. Usipotoa ushirikiano poa tu bora nshakojoa nna shida gani?
 
Kweli nyamayao but mbona wanakimbia kujibu kama wao ndo tumewaudhi halafu pruuuu tunakimbilia gemu watatupa?

Mwengine utakuta anajua kabisa amekubore na atajichelewesha kurudi nyumbani au kuingia chumbani kwa kuhofia kusemwa na atavizia umeshapitiwa na usingizi then anapanda kitandani na kuanza kukugusisha na tochi kama anagonga hodi vile!!

its always about them!! selfish creatures!!! si umeona wanvyorespond lakini???
 
ndo maana kesi za mahazbendi kuwarepu mawaifu zinaongezeka bikozi ya hizi azabu ambazo haziko kwenye katiba ya serikali aka mgomo cold.

Mbona wakati wa ugalfriend na uboifriend mlikuwa mnabembeleza tena hata bila kuwaudhi? Mlikuwa mnakumbuka kununua na mauwa ya baby please!! Kwa nini mnashindwa kuwabembeleza wake zenu pale mnapowaudhi? Au ndo yale ya nimekuoa na nimekutolea mahari?
 
kwanza kwanini ujitese kumridhisha mtu aliekuhudhi/kacrisha?...haombi msamaha bali akili yake ipo hapo chini tu....mie kwangu hili gumu sana....nataka niridhike/nimridhishe.

ni haki ya wandoa wote wawili sasa kama ntafanya nikiwa out of mood si nadhulumiwa kabisa hapo!!!!!

BTW hivi ndo zinaitwaga conjugal rights eeh???
 
nipo akili kichwani endelea
na kwa kuongezea tu kidogo unapomnyima mwenzio kitu yake ndo unampa tiketi ya kwenda kutafuta za kulipia

hapo safi sana. unajua ngja nikupe siri. hihi ni vere spesho and powerful.

hata mzee akisimama mbele ya hakimu anakutwanga talaka, mkonyeze namna unavyomkonyeza wakati wa gemu la mchana (kama lipo), nakuapia mwenyewe ataomba hakimu aahirishe shauri akatafakari upya!!!!!!

siku zote usijihesabu wewe, bali mhesabu mzee wako. kasirika hadi damu ivuje masikioni, lakini kabla hujalala, chukua zana zako uziweke pale mzee anapopajua ili ajue uko tayari ku-compromize, nakuambia akiona zana tu atakurukia na mzozo ndio unaishia hapohapo.
 
Adhabu ya kumnyima unyumba inaweza kufanya kazi kutegemea na kosa lenyewe, sio makosa yote. Mfano kosa la kurudi usiku wa manane, ukimnyima unyumba unaweza kuwa hutatui tatizo bali unaliongeza.

Anaweza akawa katoka nyumba ndogo, kashapewa unyumba kiasi kwamba akifika nyumbani anahitaji kulala tu....Wewe unapomnyima unyumba haisadii tena, basi anashukuru kwa kuwa kachoka na anaogopa yasije kumfika ya MC Lema (RIP).

mbona hiyo kurudi ucku haifanyi umnyime mtu unyumba, kuna ishuz bwana ndani humo zinafanya hata akuguse unahic anakuchubua......hayo ya kurudi ucku ni mambo madogo madogo tu.
 
Back
Top Bottom