FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
ahahahaha!
raha ya ku-mbaka mkeo ni kwamba haendi mahakamani...😀
wala hapigi kelele
heheheheh iko kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ahahahaha!
raha ya ku-mbaka mkeo ni kwamba haendi mahakamani...😀
wala hapigi kelele
Mi nikioa mke akinifanyia hivi natoa talaka siku hiyohiyo.
Na wewe siku ukimuuzi akikubania mtarimbo pia usilalamike!
hivi hapa kila mmoja anaongea ukweli toka moyoni mwake au ni kujifurahisha nafsi ???
FirstLady1, bht, carmel, klorokwini, Lily Flower, Masaki, MwanajamiiOne, Nyamayao, sinani
mbombo ngafu!.........heheheheh iko kazi
mie naongea ukweli kabisa, cwez kucheza kidali po huku rohoni nina hacra/kinyongo nae, ctaweza kabisa.
akianza hivyo na mimi naanza sababu hizohizo, yani inakuwa bilabila
kwa upande wangu mie ni kutoka moyoni. ukiniuzi kwa kweli nyoka halambi unga. its just natural maana nikiwa na hasira kila kitu mwilini kinasimama, so i cant imagine doing it when i am angry with himhivi hapa kila mmoja anaongea ukweli toka moyoni mwake au ni kujifurahisha nafsi ???
FirstLady1, bht, carmel, klorokwini, Lily Flower, Masaki, MwanajamiiOne, Nyamayao, sinani
utakufa wewe..................! hebu jaribu kwa mtu kama akili chwani uone!
mie nikimuudhi huwa wa kwanza kumuomba radhi tena kwa kumbembeleza....baada ya hapo ndio tunaendelea na mengine.
Na anayo haki ya kukaa au kukubali hiyo radhi uliyomwomba kwa siku hiyo! Kwa hiyo siku hiyo atakunyima mtarimbo....halafu siku akikubali hiyo radhi uliyoo omba ndipo utapewa! Au?
of course...lakini cwez kuanza moja kwa moja nikaingia kwenye hiyo ishu, then kama nilivyosema mara nyingi huwa nasamehewa coz najua kumbembeleza/kumpetipeti pale ninapoona cjamtendea haki....
hahaaa hata simba jike anazaaa (usininukuu Nyamayao puliiiiiiiiz sweetie)
of course...lakini cwez kuanza moja kwa moja nikaingia kwenye hiyo ishu, then kama nilivyosema mara nyingi huwa nasamehewa coz najua kumbembeleza/kumpetipeti pale ninapoona cjamtendea haki....
haaa nimeishilia kucheka tu, sawa bwana bht.