Je ni halali katika salon kuweka na desktop kwa ajili ya kurusha movies?

Kama umepata wazo la kufanya hivyo weka uangalie watu watapokeaje pia kwangu Mimi naona umebuni Jambo kubwa Sana maana umejitofautisha na wengine...mawazo kama yako kwenye biashara ni muhimu Sana maana muda wote unakuwa MTU wa KUJIONGEZA.
kama upo vizuri andaa kabisaa wazo lako ndani ya wiki ya kesho
 
Aisee. Shukrani vip changamoto zake
 
Nimewaza bora niuwe ndege wawili kwa jiwe 1 vip hii inaweza kufaa na vip changamoto zake?maana itakua two in one. Asanteni wakuu.
Weka kwa nje ya saloon acha kuchanganya ndani unaweza kosa watu wa kunyoa sababu ya hayo mambo Kuna watu hawapendinmovie library wakiona humo ndani ndonumewakosa
 
Back
Top Bottom