nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
- Thread starter
- #21
Chumba kingine kod huku 50k kwa roomUnatamaa wewe mara ungeweka Chumba kingine kwa ajili ya movie nk.Sasa wewe pambana kama ulivyoamua!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chumba kingine kod huku 50k kwa roomUnatamaa wewe mara ungeweka Chumba kingine kwa ajili ya movie nk.Sasa wewe pambana kama ulivyoamua!
Barikiwa mkuuWeka kwa nje ya saloon acha kuchanganya ndani unaweza kosa watu wa kunyoa sababu ya hayo mambo Kuna watu hawapendinmovie library wakiona humo ndani ndonumewakosa
Mimi nafanya biashara tofauti na yako Ila nameona idea yako ni njema kwasababu salon wanakuja watoto na vijana kwahiyo inakuwa rahisi kuweka movie pia eneo lako la Solon kama kubwa Nina uhakika unafanya kazi.Aisee. Shukrani vip changamoto zake
Mkuu bila tamaa hupati pesaUnatamaa wewe mara ungeweka Chumba kingine kwa ajili ya movie nk.Sasa wewe pambana kama ulivyoamua!
Sahihi kabisaaWazo liko sahihi 100%. Angalia hadhi ya saluni yako na aina ya wateja ulio nao. Kama zaidi ya 50% ya wateja ni vijana wadogo inakuwa poa tu hakuna madhara. Ila kwa sisi madingi hatuwezi kuja sehemu yenye makelele ya movie na watu kibao wanaokuja kuchukua movie. Tunataka space na utulivu.
Kuna mdau hapo amenionya kua naweza poteza wateja wa kunyoa sababu hawapendi noiseMimi nafanya biashara tofauti na yako Ila nameona idea yako ni njema kwasababu salon wanakuja watoto na vijana kwahiyo inakuwa rahisi kuweka movie pia eneo lako la Solon kama kubwa Nina uhakika unafanya kazi.
Hao wateja wako ndiyo watakuwa mabalozi wa kukutangaza mtaani juu ya idea yako. Komaa ndani ya wiki ya kesho isiishe bila kutenda
Hahah mku we si unakuja kunyoa? HWazo liko sahihi 100%. Angalia hadhi ya saluni yako na aina ya wateja ulio nao. Kama zaidi ya 50% ya wateja ni vijana wadogo inakuwa poa tu hakuna madhara. Ila kwa sisi madingi hatuwezi kuja sehemu yenye makelele ya movie na watu kibao wanaokuja kuchukua movie. Tunataka space na utulivu.
Yupo Sahihi....kama wateja wako asilimia 70 ni vijana,watoto na mabintiKuna mdau hapo amenionya kua naweza poteza wateja wa kunyoa sababu hawapendi noise
Location hi salon zipo lakini hazina ubora mkuu nataka nijaribu kuleta revolution japokua kuna watu wanasema huu mtaa una uswahiliYupo Sahihi....kama wateja wako asilimia 70 ni vijana,watoto na mabinti
Uswahilini ndiko kuliko na pesa dogo kwa wenye mageti hakuna pesa labda ufungue minsuper market.Location hi salon zipo lakini hazina ubora mkuu nataka nijaribu kuleta revolution japokua kuna watu wanasema huu mtaa una uswahili
Hahaha mkuu inaonekana uko deep sana na hizi misheUswahilini ndiko kuliko na pesa dogo kwa wenye mageti hakuna pesa labda ufungue minsuper market.
Sana mkuu,nimepambana sana ujanani,nimeangushwa na ndugu Bado napambana uzeeni,Nikiamua jambo halrudi nyuma kamwe!Hahaha mkuu inaonekana uko deep sana na hizi mishe
Uswahilini ndiko kuliko na pesa dogo kwa wenye mageti hakuna pesa labda ufungue minsuper market.
Kweli Mkuu!Vijana wengi wa sikuhizi hawajui kama uswahilini ndiko biashara zinafanyika