Je ni halali katika salon kuweka na desktop kwa ajili ya kurusha movies?

Wazo liko sahihi 100%. Angalia hadhi ya saluni yako na aina ya wateja ulio nao. Kama zaidi ya 50% ya wateja ni vijana wadogo inakuwa poa tu hakuna madhara. Ila kwa sisi madingi hatuwezi kuja sehemu yenye makelele ya movie na watu kibao wanaokuja kuchukua movie. Tunataka space na utulivu.
 
Aisee. Shukrani vip changamoto zake
Mimi nafanya biashara tofauti na yako Ila nameona idea yako ni njema kwasababu salon wanakuja watoto na vijana kwahiyo inakuwa rahisi kuweka movie pia eneo lako la Solon kama kubwa Nina uhakika unafanya kazi.
Hao wateja wako ndiyo watakuwa mabalozi wa kukutangaza mtaani juu ya idea yako. Komaa ndani ya wiki ya kesho isiishe bila kutenda
 
Wazo liko sahihi 100%. Angalia hadhi ya saluni yako na aina ya wateja ulio nao. Kama zaidi ya 50% ya wateja ni vijana wadogo inakuwa poa tu hakuna madhara. Ila kwa sisi madingi hatuwezi kuja sehemu yenye makelele ya movie na watu kibao wanaokuja kuchukua movie. Tunataka space na utulivu.
Sahihi kabisaa
 
Kuna mdau hapo amenionya kua naweza poteza wateja wa kunyoa sababu hawapendi noise
 
Wazo liko sahihi 100%. Angalia hadhi ya saluni yako na aina ya wateja ulio nao. Kama zaidi ya 50% ya wateja ni vijana wadogo inakuwa poa tu hakuna madhara. Ila kwa sisi madingi hatuwezi kuja sehemu yenye makelele ya movie na watu kibao wanaokuja kuchukua movie. Tunataka space na utulivu.
Hahah mku we si unakuja kunyoa? H
 
Back
Top Bottom