Je ni halali kumsifia mwanamke mwingine mbele ya mkeo?

Je ni halali kumsifia mwanamke mwingine mbele ya mkeo?

2019

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
3,130
Reaction score
4,735
Habari wanajamvi? kwenye jukwaa hili sio maarufu sana ila nisaidieni hili:
Nina mke nampenda sana hata yeye anajua nampa misifa kama yote kama ilivyo ugonjwa wao. sijawai kutoa sifa kwa jinsia ya kike mbele yake hata siku 1.
Hii imenikuta last week,nilisemwa sana japo sikuwa na nia mbaya.
HOJA ZAKE
1. Ww umeoa kwanni umsifie mwanamke mwingine wakati hizo sifa mm ndio nastahili?
2. Mahusiano huwa yanaanza kwa vitu vidogo vidogo kama kumsifia mwanamke,una agenda gani?
3. Je mm nikimsifia mwanaume mbele yako utafurahi?

Sikuweza kupangua hoja zake basi nikaomba samahani tu. Sababu hoja zake 2 na 3 naziunga mkono.

Wanandoa heb nisaidieni hapo.
 
Ni makosa na haipendezi kabisa ndugu yangu
 
Sasa kama huyo mke hana hiyo sifa utamsifia tu!? Unamsifia mwenye hiyo sifa ili wife ajifunze pia.
 
Mimi nikiona mwanamke mzuri namuonesha kabisa Mr cheki pisi ile ilivyojazia. Sasa wewe kama unamsifia mwanamke mwingine ambae hata kimaumbo hawaendani na mkeo tatizo linaanzia hapo
 
Back
Top Bottom