Sasa kama hana wasiwasi analia nini?Na yeye angemjibu kua hawezi kufanya hivyo kwahiyo likitokea lolote yeye (mume) ndo mhusika!
Kwahiyo kumbe hiyo ni ruhusa yakuchakachuliwa nje,ila kinga izingatiwe ehh?Lizzy,
jamaa kafanya la maana sana kuvunja ukimya! Ujue da issue is wengi wenu wanawake mkitoka nje huwa mnadata end of da day mnasahau hata kutumia kinga na hii haina ubishi coz nyie mkizidiwa tu mnataka mnanihiii tu hamna ushawishi wa kutumia zana.
Tofauti na wanaume sie huwa waangalifu ktk matumizi ya dhana kunakomajamboooooz ndo maana anamalert mtoto asichakachue kizembe
hahahaaa, we kweli paka mweusi, bila shaka haya maongezi mliyafanya mkiwa peke yenu chumbani kwako, kama anakuuliza wewe kuwa ndoa ataiweza?, inaelekea mna uhusiano wa kumegana kitambo, na wakati anaolewa alikuja kukuambia kwamba anataka kuolewa na ukakubali maana inaonekana wewe sio muoaji.
Hapo huyo jamaa hajakosea kujihami ila kosa ni vile ujumbe ulivyofikishwa uko too direct.