Elly255
JF-Expert Member
- Mar 30, 2017
- 884
- 1,432
Wanajamvi habari zenu.
Naamini mko vyema na mnaendelea kupambana.
Kuna hii ishu huwa naifikiria sana. Mtaani kuna vijana huwa wanapita na spika wakitangaza kununua pesa mbovu na dola na pesa zingine za kigeni.
Je kwa sheria za fedha za nchini kuna uhalali wa kufanya hii biashara??
Na kwanini pesa mbovu iuzwe wakati ukienda bank unatakiwa upewe ingine mpya.
Wajuzi wa mambo naombeni ufafanuzi wa hili