Elifuraha Longu
Member
- May 8, 2014
- 73
- 10
Nimatumaini yangu kuwa mko wazima wa afya njema wana jf hasa jukwaa hili la sheria.
Kuna jambo limenipa msukumo kuandika uzi huu kuomba msaada wa kisheria. Kuna jamaa yangu mmoja ambaye ni ndugu yangu (mjomba) mtoto wa dadangu, yeye kuna mtu anamdai tsh200,000 cha kushangaza mdai aliamua kumchukuli hatua jamaa huyu kwa kumpeleka polisi baada ya kubaki sh100,000tu na muda kama miezi mitatu zikiwa zimepita. Baada ya mdai kwenda polisi akaandika kuwa anamdai sh250,000 akimaanisha kila mwezi anatoza riba ya sh30,000 kwa laki1 hivyo jumla laki2 imezaa laki3 na nusu. Kinachomsumbua jamaa ni kwamba iweje kuwepo na riba na jamaa hali yake ni mbaya kwa muda alopewa polisi hawezi kulipa hela hizo. Ushauri sheria inasemaje kuhusu hilo? anaweza kwenda mahakamani kufungua shauri la kutozwa riba ambayo kwa ninavyojua ni kosa kutoa pesa kwa riba bila kuwa kibali. Karibuni wanaojua sheria.