Brojust
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 349
- 1,024
Wakuu salama!
Ingawa hii forum ni ya kila mtu, lakini ni moja ya jukwaa kubwa sana la kiswahili Africa na Dunia kwa ujumla.
Ni forum ambayo kuna watu wa maana sana, kuna wasomi na watu wenye experience kubwa sana.
Kuna matajiri na watu wenye hekima kubwa sana, ni sehemu pekee unayoweza ku interact na mawaziri na wakuu wa taasisi mbali mbali.
Ni jukwaa unaloweza kupata taarifa ambazo huwezi kupata kwenye source yoyote Tanzania.
Je, kitendo cha huyu bwana kuanzisha uzi special kwa ajili ya kutukana watu kwa kisingizio cha KUTAFUTA HELA NI HALALI ?
MODS mko wapi, Max na wenzako mko wapi ?
Najua utani upo, Sometimes kuredresh kupo ? Ila naona it's too much.
NB: Sio chuki binafsi ila naona tuanze kurudisha misingi ya jamiiforum ya mwaka 2015 kushuka chini.
Nawasilisha