Je, ni halali kwa anayejiita CHIEF GODLOVE kuja Jamii Forums kutukana watu?

Muwe mnafikiria na kucanya utafiti kabla hamjalaumu watu. Huyo sio Goodlove kama ambavyo mi sio muuza madafu wa Ikulu.

Jamaa alikuwa na ID yake alichofanya ni kubadilisha ID na kujiita jina la huyo jamaa sawa na mimi nilivyo badilisha ID yangu ya zamani na kupita na upepo wa muuza madafu wa ikulu.

So relax, huyu mwana JF mwenzetu tu. Alikuwa na ID yake ya zamani Christoherpaul sasa kaamua kuibadilisha to chief love akipita na upepo aa jamaa.
upepo wake utapita kama yule Boss la DP World
 
Wakuu salama!

Ingawa hii forum ni ya kila mtu, lakini ni moja ya jukwaa kubwa sana la kiswahili Africa na Dunia kwa ujumla.

Ni forum ambayo kuna watu wa maana sana, kuna wasomi na watu wenye experience kubwa sana.

Kuna matajiri na watu wenye hekima kubwa sana, ni sehemu pekee unayoweza ku interact na mawaziri na wakuu wa taasisi mbali mbali.

Ni jukwaa unaloweza kupata taarifa ambazo huwezi kupata kwenye source yoyote Tanzania.

Je, kitendo cha huyu bwana kuanzisha uzi special kwa ajili ya kutukana watu kwa kisingizio cha KUTAFUTA HELA NI HALALI ?

MODS mko wapi, Max na wenzako mko wapi ?

Najua utani upo, Sometimes kuredresh kupo ? Ila naona it's too much.

NB: Sio chuki binafsi ila naona tuanze kurudisha misingi ya jamiiforum ya mwaka 2015 kushuka chini.

Nawasilisha
Anajiita Ana hela, wenye hela hawaishi huko anakoishi yeye
 
Nawaza sana pengine vijana wa 2000 ndo mamods kwa sasa
 
Muwe mnafikiria na kucanya utafiti kabla hamjalaumu watu. Huyo sio Goodlove kama ambavyo mi sio muuza madafu wa Ikulu.

Jamaa alikuwa na ID yake alichofanya ni kubadilisha ID na kujiita jina la huyo jamaa sawa na mimi nilivyo badilisha ID yangu ya zamani na kupita na upepo wa muuza madafu wa ikulu.

So relax, huyu mwana JF mwenzetu tu. Alikuwa na ID yake ya zamani Christoherpaul sasa kaamua kuibadilisha to chief love akipita na upepo aa jamaa.
Kama ni Christopherpaul nilisha mu ignore zamani sana
 
Wakuu salama!

Ingawa hii forum ni ya kila mtu, lakini ni moja ya jukwaa kubwa sana la kiswahili Africa na Dunia kwa ujumla.

Ni forum ambayo kuna watu wa maana sana, kuna wasomi na watu wenye experience kubwa sana.

Kuna matajiri na watu wenye hekima kubwa sana, ni sehemu pekee unayoweza ku interact na mawaziri na wakuu wa taasisi mbali mbali.

Ni jukwaa unaloweza kupata taarifa ambazo huwezi kupata kwenye source yoyote Tanzania.

Je, kitendo cha huyu bwana kuanzisha uzi special kwa ajili ya kutukana watu kwa kisingizio cha KUTAFUTA HELA NI HALALI ?

MODS mko wapi, Max na wenzako mko wapi ?

Najua utani upo, Sometimes kuredresh kupo ? Ila naona it's too much.

NB: Sio chuki binafsi ila naona tuanze kurudisha misingi ya jamiiforum ya mwaka 2015 kushuka chini.

Nawasilisha
Katoroka milembe huyo tunamtafuta
 
Sahihi kabisa ! Au anaanza tu kutukana bila sababu
 
Jamaa wala hatukani mtu ni vile tu maneno yake yanawachoma watu, ukiona mpaka mtu anakasirika basi ujue maneno yamemuingia hata kama ni ya uongo.
 
Wakuu salama!

Ingawa hii forum ni ya kila mtu, lakini ni moja ya jukwaa kubwa sana la kiswahili Africa na Dunia kwa ujumla.

Ni forum ambayo kuna watu wa maana sana, kuna wasomi na watu wenye experience kubwa sana.

Kuna matajiri na watu wenye hekima kubwa sana, ni sehemu pekee unayoweza ku interact na mawaziri na wakuu wa taasisi mbali mbali.

Ni jukwaa unaloweza kupata taarifa ambazo huwezi kupata kwenye source yoyote Tanzania.

Je, kitendo cha huyu bwana kuanzisha uzi special kwa ajili ya kutukana watu kwa kisingizio cha KUTAFUTA HELA NI HALALI ?

MODS mko wapi, Max na wenzako mko wapi ?

Najua utani upo, Sometimes kuredresh kupo ? Ila naona it's too much.

NB: Sio chuki binafsi ila naona tuanze kurudisha misingi ya jamiiforum ya mwaka 2015 kushuka chini.

Nawasilisha
NB: Sio chuki binafsi ila naona tuanze kurudisha misingi ya jamiiforum ya mwaka 2015 kushuka chini.📌🔨🙏🏿
 
Mengine anasema ya kweli. Kwa mfano dada yangu aolewe azalishwe alafu Mimi nikalele wajomba kweli. Pesa ya uzazi Hana, shule Hana, hata Milo mitatu Hana, huoni huyo shemeji ni chizi fresh( hata huyo dada yangu akili Hana)
 
Back
Top Bottom