Je, ni halali kwa anayejiita CHIEF GODLOVE kuja Jamii Forums kutukana watu?

upepo wake utapita kama yule Boss la DP World
 
Anajiita Ana hela, wenye hela hawaishi huko anakoishi yeye
 
Nawaza sana pengine vijana wa 2000 ndo mamods kwa sasa
 
Kama ni Christopherpaul nilisha mu ignore zamani sana
 
Katoroka milembe huyo tunamtafuta
 
Sahihi kabisa ! Au anaanza tu kutukana bila sababu
 
Jamaa wala hatukani mtu ni vile tu maneno yake yanawachoma watu, ukiona mpaka mtu anakasirika basi ujue maneno yamemuingia hata kama ni ya uongo.
 
Sijakuelewa embu rudia tena kwa mwamdiko mzuri mkuu

Mkuu huyo hatukani yeyote wa JF.

Sasa mkuu kulikoni kuguswa na yasiyo kuhusu?

Kwamba kulikoni pilipili usizozila?
 
NB: Sio chuki binafsi ila naona tuanze kurudisha misingi ya jamiiforum ya mwaka 2015 kushuka chini.πŸ“ŒπŸ”¨πŸ™πŸΏ
 
Mengine anasema ya kweli. Kwa mfano dada yangu aolewe azalishwe alafu Mimi nikalele wajomba kweli. Pesa ya uzazi Hana, shule Hana, hata Milo mitatu Hana, huoni huyo shemeji ni chizi fresh( hata huyo dada yangu akili Hana)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…