Je, ni halali kwenda na hela ya dawati, wakati wa kumsajili mwanafunzi kidato cha kwanza

Je, ni halali kwenda na hela ya dawati, wakati wa kumsajili mwanafunzi kidato cha kwanza

Joined
May 30, 2025
Posts
47
Reaction score
71
Kuna mwalimu mkuu wa shule x ya secondary kahama amekua na tabia za kuwatoza fedha ya dawati tsh themanini elfu 80000, kila mwanafunzi anayejiunga kidato Cha kwanza, mwalimu huyu hutumia vitisho sana, akidai hamna dawati za kukalia, hata hivyo ukilipia tu mwanafunzi anapewa sehemu ya kukaa, nimekuja hapa kuomba ufafanuzi wa swala hili Kwa wajuzi
 
Back
Top Bottom