S Saveya JF-Expert Member Joined Aug 18, 2019 Posts 3,640 Reaction score 3,886 Jul 24, 2020 #21 Wengine wachache wanahonga viserengeti ili vikamuliwe
Lucha JF-Expert Member Joined Aug 24, 2018 Posts 20,353 Reaction score 62,400 Jul 24, 2020 #22 Sababu ni moja tu, wanataka kuish kupitia papuchi Yan wamefanya papuchi ndo kamradi kakupatia hela,,, Sasa hizo mimba ni za ajali kazn na ndo inakua imeisha hiyo
Sababu ni moja tu, wanataka kuish kupitia papuchi Yan wamefanya papuchi ndo kamradi kakupatia hela,,, Sasa hizo mimba ni za ajali kazn na ndo inakua imeisha hiyo
A Akilinjema JF-Expert Member Joined Aug 9, 2016 Posts 11,428 Reaction score 11,850 Jul 24, 2020 #24 Labda tungewauliza hao single mothers Je huwa wanaendaga kufanya vipimo vya HIV na hao wanaume walozaa nao kabla ya kubeba hizo mimba? Kama siyo Je chances za single mothers za kupata maambukizi ya HIV ikoje? Je risk profiles zao za uwezekano wa kupata maambukizi ya HIV ukoje? Tuyatafakali haya kisha tuchukue hatua. Afya ni Mtaji!
Labda tungewauliza hao single mothers Je huwa wanaendaga kufanya vipimo vya HIV na hao wanaume walozaa nao kabla ya kubeba hizo mimba? Kama siyo Je chances za single mothers za kupata maambukizi ya HIV ikoje? Je risk profiles zao za uwezekano wa kupata maambukizi ya HIV ukoje? Tuyatafakali haya kisha tuchukue hatua. Afya ni Mtaji!