Je, ni jeuri ya pesa? Diamond atembeza R-R bila plate number kwenye usiku wa WASAFIBET

Anakuwa alishalipia na particular zipo tra, kwa mazingira hayo anakuwa amepewa limit ya kukitembeza hicho chombo huku akiendelea kusubiri taratibu zikamilike za kupata namba. Ni sawa na mtu yeyote aliyenunua chombo kipya na kupewa namba temporary ya kutumia chombo hicho huku akisubiri namba sahihi.
 
Ukiwa huna pesa, tajiri akipita na gari lake kafunga vioo unasema ana dharau hasalimii watu.
Akinunua simu ya gharama, unasema uharibifu wa pesa kwanini asiwapelekee wenye shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…