kitu kizuri alichonionesha mzazi mwenzangu ni mapenzi ambayo sikuwahi yapata sehemu yyt. Lakini aliniumiza kwa intensity hiyo hiyo baada ya kuniacha mwaka 2008, hadi leo hii sijawahi kuwa na mpenzi mwi
ngine. I cant love anymore
Preta..leo ile rangi yetu imeenda wapi?kwa nini uitendee roho yako ukatili wa namna hiyo? toka 08 ni almost miaka 3 sasa....why?
@Preta, hakuna kitu kibaya kama kuwa mwaminifu 100 percent afu still ukatendwa, kwa kweli kwa sasa wadada bora mwendelee kucheat tu kama mmnaweza. Unfortunate am a one man woman thats how i was raised been told. A woma pride ni kuwa mwaminifu. Yule wa kwanza alikuwa inteligent player na alitake advatage ya mie kuwa mgeni katika mapenzi so nilimpenda kiasi ambacho hata siwezi elezea, he became everything to me. So alivyoniacha wakaka nawaona kama simba nawaogopa kwa kweli bora nilee tu mwanangu. Yanaweza jirudia yale yale vijana wa mjini hawa siwawezi.kwa nini uitendee roho yako ukatili wa namna hiyo? toka 08 ni almost miaka 3 sasa....why?
@Preta, hakuna kitu kibaya kama kuwa mwaminifu 100 percent afu still ukatendwa, kwa kweli kwa sasa wadada bora mwendelee kucheat tu kama mmnaweza. Unfortunate am a one man woman thats how i was raised been told. A woma pride ni kuwa mwaminifu. Yule wa kwanza alikuwa inteligent player na alitake advatage ya mie kuwa mgeni katika mapenzi so nilimpenda kiasi ambacho hata siwezi elezea, he became everything to me. So alivyoniacha wakaka nawaona kama simba nawaogopa kwa kweli bora nilee tu mwanangu. Yanaweza jirudia yale yale vijana wa mjini hawa siwawezi.
pole,you are not alone.katika mapenzi kwa upande wangu,nimejifunza ukimpenda mwanaume 100% akikuumiza,unaumia mno.na kama ukipendea kitu fulani kutoka kwake,akikuumiza huumii kiivyo ila utamiss tu vile vitu kutoka kwake.kwa upande wangu mimi,mapenzi nayakwepa,siyataki hata kuyasikiakitu kizuri alichonionesha mzazi mwenzangu ni mapenzi ambayo sikuwahi yapata sehemu yyt. Lakini aliniumiza kwa intensity hiyo hiyo baada ya kuniacha mwaka 2008, hadi leo hii sijawahi kuwa na mpenzi mwi
ngine. I cant love anymore
Kishongo sio wanaume wote wapo kama huyo uliyempata mwanzo. Bahati mbaya zinatokea.....piga moyo konde, usiufunge kupata mwengine
pole,you are not alone.katika mapenzi kwa upande wangu,nimejifunza ukimpenda mwanaume 100% akikuumiza,unaumia mno.na kama ukipendea kitu fulani kutoka kwake,akikuumiza huumii kiivyo ila utamiss tu vile vitu kutoka kwake.kwa upande wangu mimi,mapenzi nayakwepa,siyataki hata kuyasikia
pole,you are not alone.katika mapenzi kwa upande wangu,nimejifunza ukimpenda mwanaume 100% akikuumiza,unaumia mno.na kama ukipendea kitu fulani kutoka kwake,akikuumiza huumii kiivyo ila utamiss tu vile vitu kutoka kwake.kwa upande wangu mimi,mapenzi nayakwepa,siyataki hata kuyasikia
Ooooh, this is so sad... Pole sana. Ila usikate tamaa, bado kuna mtu kwa ajili yako na soon or later atajitokeza. Ni wewe tu kuamua.kitu kizuri alichonionesha mzazi mwenzangu ni mapenzi ambayo sikuwahi yapata sehemu yyt. Lakini aliniumiza kwa intensity hiyo hiyo baada ya kuniacha mwaka 2008, hadi leo hii sijawahi kuwa na mpenzi mwi
ngine. I cant love anymore
hiyo ni idea nzuri sana tuTuunde umoja wetu mkuu, Umoja wa wasiopenda mapenzi, au wasemaje mkuu??
Preta..leo ile rangi yetu imeenda wapi?