je ni k2 gan hutakisahau ulchofanyiwa na mpenz wako? ?

Punguli

Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
76
Reaction score
9
kuna mambo meng ambayo wa2 huwafanyia wapenz wao. . Pia kunayo mambo ambayo n vgumu kuyasahau, yawe mazuri o mabaya! Je n yap hutayasahau? ? ?
 
sintosahau siku ya leo maana my wife wangu kanikataza nisiifungue thread hii. Nalog off
 
kitu kizuri alichonionesha mzazi mwenzangu ni mapenzi ambayo sikuwahi yapata sehemu yyt. Lakini aliniumiza kwa intensity hiyo hiyo baada ya kuniacha mwaka 2008, hadi leo hii sijawahi kuwa na mpenzi mwi
ngine. I cant love anymore
 
aliekua mpenz wangu aliponiambia ananipenda as a friend n she cant lv me more than that
 
kitu kizuri alichonionesha mzazi mwenzangu ni mapenzi ambayo sikuwahi yapata sehemu yyt. Lakini aliniumiza kwa intensity hiyo hiyo baada ya kuniacha mwaka 2008, hadi leo hii sijawahi kuwa na mpenzi mwi
ngine. I cant love anymore

kwa nini uitendee roho yako ukatili wa namna hiyo? toka 08 ni almost miaka 3 sasa....why?
 
nilipomkuta ana b i k r a ni zawadi tosha ktk maisha yangu sitasahau
 
Dah,yani unakumbusha mbaaaaaaaali sana! Siwezi kusahau nilipogundua ana mimba wakati sikuwahi hata ku-du nae! yan nlielewa kuwa si kwamba anagawa nje but amegawa pekupeku!.....
 
kwa nini uitendee roho yako ukatili wa namna hiyo? toka 08 ni almost miaka 3 sasa....why?
@Preta, hakuna kitu kibaya kama kuwa mwaminifu 100 percent afu still ukatendwa, kwa kweli kwa sasa wadada bora mwendelee kucheat tu kama mmnaweza. Unfortunate am a one man woman thats how i was raised been told. A woma pride ni kuwa mwaminifu. Yule wa kwanza alikuwa inteligent player na alitake advatage ya mie kuwa mgeni katika mapenzi so nilimpenda kiasi ambacho hata siwezi elezea, he became everything to me. So alivyoniacha wakaka nawaona kama simba nawaogopa kwa kweli bora nilee tu mwanangu. Yanaweza jirudia yale yale vijana wa mjini hawa siwawezi.
 
Kishongo sio wanaume wote wapo kama huyo uliyempata mwanzo. Bahati mbaya zinatokea.....piga moyo konde, usiufunge kupata mwengine
 
kitu kizuri alichonionesha mzazi mwenzangu ni mapenzi ambayo sikuwahi yapata sehemu yyt. Lakini aliniumiza kwa intensity hiyo hiyo baada ya kuniacha mwaka 2008, hadi leo hii sijawahi kuwa na mpenzi mwi
ngine. I cant love anymore
pole,you are not alone.katika mapenzi kwa upande wangu,nimejifunza ukimpenda mwanaume 100% akikuumiza,unaumia mno.na kama ukipendea kitu fulani kutoka kwake,akikuumiza huumii kiivyo ila utamiss tu vile vitu kutoka kwake.kwa upande wangu mimi,mapenzi nayakwepa,siyataki hata kuyasikia
 
Sure Gaijin, makovu kama haya ndo yanafanya "falling in love" kuwa complicated! Ila huwezi wala hupaswi kuishi kwa historia, japo inatakiwa ikufundishe!
 
pole,you are not alone.katika mapenzi kwa upande wangu,nimejifunza ukimpenda mwanaume 100% akikuumiza,unaumia mno.na kama ukipendea kitu fulani kutoka kwake,akikuumiza huumii kiivyo ila utamiss tu vile vitu kutoka kwake.kwa upande wangu mimi,mapenzi nayakwepa,siyataki hata kuyasikia

Kisukari, sio fair namna hyo.... Kwa nafsi yako na kwa wanaokupenda! Mi niliwahi kutendwa (of cz mapenzi yamewatenda watu wengi hapa jamvini na duniani kote) lakini sikutaka kuchukulia yale maumivu kuwahukumu wanawake wote!
 
pole,you are not alone.katika mapenzi kwa upande wangu,nimejifunza ukimpenda mwanaume 100% akikuumiza,unaumia mno.na kama ukipendea kitu fulani kutoka kwake,akikuumiza huumii kiivyo ila utamiss tu vile vitu kutoka kwake.kwa upande wangu mimi,mapenzi nayakwepa,siyataki hata kuyasikia

Tuunde umoja wetu mkuu, Umoja wa wasiopenda mapenzi, au wasemaje mkuu??
 
kitu kizuri alichonionesha mzazi mwenzangu ni mapenzi ambayo sikuwahi yapata sehemu yyt. Lakini aliniumiza kwa intensity hiyo hiyo baada ya kuniacha mwaka 2008, hadi leo hii sijawahi kuwa na mpenzi mwi
ngine. I cant love anymore
Ooooh, this is so sad... Pole sana. Ila usikate tamaa, bado kuna mtu kwa ajili yako na soon or later atajitokeza. Ni wewe tu kuamua.
 
Back
Top Bottom