Je ni kabila gani wanaokamatia mauno namna hii???

Je ni kabila gani wanaokamatia mauno namna hii???

Dah... Tumia akili bana... mauno ni uwezo... na uwezo ni mazoezi ....haijalishi ni mchaga au mzaramo au mzulu...binadamu wote ni sawa... [emoji13] [emoji13]
 
Mjini msingi kiuno,..?? mbona madansa wengi wako masiki na makapuku
 
Back
Top Bottom