TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Habari JF,
Ebu tuambie ni kampuni gani unaisikia sikia tu au unaifahamu na ungependa ikuajiri?
Weka kiwango cha elimu na ujuzi uliosomea hapa hapa mfano BA in MarkeTing, Dip in IT then taja jina la kampuni na sababu ya kulipenda hilo likampuni kitu gani kimekuvutia sana sana then utapata connection fasta coz kuna wababe wa ma-connection pia HR nao wapo JF hapa watakupa miongozo.
Usihau kuna watu japo hawajafika level zako ila wanawajua washua kwenye kampuni hizo wanaweza piakukulengesha, ukatengeneza nao mazoea then mazingira hapo hapo inakuwa ni connection ya kweli.