Je, ni kawaida battery kupiga kelele wakati inachaji?

Je, ni kawaida battery kupiga kelele wakati inachaji?

K2S7J3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
449
Reaction score
332
Hamjamboni wana jf, napenda kujua, je, ni kawaida 'lead acid battery' kupiga kelele kana kwamba inachemka wakati inachajiwa kwa solar panel? Elimu tafadhali
 
Kuna chumba cell zake hazko sawa....means damaged.. weka mkono if inapata moto kwa nje means no longevity...au inakula moto kupita uwezo wa betri lenyewe...
 
Hamjamboni wana jf, napenda kujua, je, ni kawaida 'lead acid battery' kupiga kelele kana kwamba inachemka wakati inachajiwa kwa solar panel? Elimu tafadhali
Si kawida kabisa. Eidha unachaji battery ambayo cell zake zishakufa au zime-short circuit
 
Back
Top Bottom