Je, ni kawaida kufanya mapenzi bila kufika kileleni au ni tatizo?

Je, ni kawaida kufanya mapenzi bila kufika kileleni au ni tatizo?

mwanzo wetu

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2014
Posts
1,581
Reaction score
462
Waheshimiwa habarini za wakati,

Naomba kujua huenda ni kawaida au siyo Hali ya kawaida.

Mimi napoanza tendo la ndoa naanza kwa furaha ila nikikojoa Mara moja kimsingi huwa sijui kuunga huwa lazima nipumzike walau dakika 15 kama munavyojua penzi ni sitarehe pia ni afya.

Sasa shida yangu inakuja napotaka kurudia bao la pili huwa kukojoa inakuwa kazi mpaka mwanamke anasema siwezi kuvumilia akidai namchana chana ndani, maana hukojoa inakuwa mtihani na wala sichoki.

Kimsingi Huwa natumia busara naamua kumuacha, pengine navuta siku nzima sijakutananae kimwili ila napotaka Tena tufanye basi hukubali ila shida pia inakuja kwenye kukojoa bila kujalisha nimemaliza siku nzima bila kuwekeana inaweza kuenda hata masaa 12 tukifanya bila hata Wala kukojoa Sasa hapa nataka kuuliza je ni hali ya kawaida au kunatatizo ingawa mm najiona kawaida tu.

Nawasilisha naombeni ushauri.
 
Hivi mwanaume mnataka kukojoa Mara ngapi kwa siku?

Huwazi hata kumfikisha mwenzio Mara moja moja .... Unawaza kukojoa Mara 6 kwa siku.....🙈🙊🙈
So akikojoa yeye ila mie nikiwa sijakojoa hainashida
 
Kwa siku unafanya mapenzi mara ngapi? hapa umesema unaweza kuvuta kwa siku nzima, hii ina maana kwamba huwa unafanya mapenzi kwa siku mara nyingi.
 
Hivi mwanaume mnataka kukojoa Mara ngapi kwa siku?

Huwazi hata kumfikisha mwenzio Mara moja moja .... Unawaza kukojoa Mara 6 kwa siku...
Mara tatu kwa siku sio mbaya, ikishindikana bas walau mara mbili si haba....wakati huo ke akojowe mara nyingi kadiri iwezekanavyo ikiwezekana akojowe hata mara kumi na mbili hivi si vibaya
 
Back
Top Bottom