Je, ni kawaida kufanya mapenzi bila kufika kileleni au ni tatizo?

Ukisha piga rounda ya kwanza upo hoi ukirudi mapumziko ya dakika chache kamwagie mashine maji ya baridi au hata barafu kafanye cooling then rudi tena kumshugulikia oh utanishukuru
The legend himself!! Point taken na nitaifanyia maboresho [emoji2]
 
Hivi mwanaume mnataka kukojoa Mara ngapi kwa siku?

Huwazi hata kumfikisha mwenzio Mara moja moja .... Unawaza kukojoa Mara 6 kwa siku.....[emoji85][emoji87][emoji85]
Mimi nahisi jinsi mwanaume unavyoenda round nyingi ndiyo vile na mwanamke anainjoi cha msingi mnara usome 4G
 
Exactly! Na mkijuluana namna ya kila mmoja kumpea mwenza wake mbona patamu sana hapo!

Maake ke anaweza akamwaga maji hadi akabaki anavaibreti
 
The legend himself!! Point taken na nitaifanyia maboresho [emoji2]

Yani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo sasa utaua mtu na usisahau na kale kaasali ka nyuki wadogo mambo ya asili tu mzee baba hatutumii mkongo , sasa mzee hiyo trick ni balaa yani hapo ukimaliza cha kwanza nenda ukaipooze mzee ukirudi unakua mpya na ukifika tu ukaona maumbile ya bibi ngoma sasa inarudi tena kasi ya hatari,hapo kama mtu ajakimbilia mlangoni basi tena
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Exactly! Na mkijuluana namna ya kila mmoja kumpea mwenza wake mbona patamu sana hapo!

Maake ke anaweza akamwaga maji hadi akabaki anavaibreti

Safii mzee mwenzangu, hii kitu haina uchawi ukimtazama mwenza wako kama timu ya upinzani hutakubali kushindwa, hila nasisitiza ile nae afike juu piga sana romance piga sana touch and suppose to be gently ikiwezekena piga hata nusu saa akifikia point amezidiwa panda farasi utasikia makelele tu ukimaliza hiyo stage nenda sasa kidume kafanye cooling ukirudi yeye bado anakua ana hamu nawe sasa hapo piga tikitaka za CR7 nyavu
 
Eti kafanye cooling [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] we jamaa ni legendary aseeeee
 
Mara tatu kwa siku sio mbaya, ikishindikana bas walau mara mbili si haba....wakati huo ke akojowe mara nyingi kadiri iwezekanavyo ikiwezekana akojowe hata mara kumi na mbili hivi si vibaya
Haina uhalisia.... Applicable only in the Movies...
 
Wewe unapenda kukojoa mara ngapi wakati wa tendo? Kuna mautundu unafanya ili ukojoe zaidi ya mara moja? 😋😋😋

Hivi mwanaume unataka kukojoa Mara ngapi kwa siku?

Huwazi hata kumfikisha mwenzio Mara moja moja .... Unawaza kukojoa Mara 6 kwa siku.....🙈🙊🙈
 
Back
Top Bottom