The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Upo sahihi, kikubwa ni KYC unavyoijaza. Lazima umuulize mteja kipato chake kwa mwezi au kwa mwaka. Na ni vizuri kumshauri awe anaupdate taarifa zake kila mara zinapobadilika hasa kipato chake kama kinaongezeka sana.Labda km tangu mwanzo walieleza akaunti zao zitakuwa na Big deposits.
Huwezi kufungua account km muuza nyanya mwenye kipato cha laki 1 kwa mwezi then uweke mil 500 bank ikuwekee tu bila kukuhoji.
Kawaida huulizwi hapo hapo. Utaweka fresh tu ila after some days watu wa compliance wanakutafuta
Sio kweli kuwa ni CRDB pekee.CRDB ndio wana tabia za kushangaza akili za mtafutaji
Mwenyewe siwezi kuwa na mpunga wa kuzidi ukaweke Benki ya wakulima au ushirika 🤣 unatafta matatizoBank za serikali hizi wanahoji sana mm kaka yang kuna kipind alikuwa kila baada ya siku 2 lazma akaweke NMB 30M na ni chalii tu mbona walimwita na kuanza kumuuliza kazi yake.
Ila Bank kama Barclays, Standard chartered ndio weng huwa wanakimbilia kuweka pesa nying kwa mkupuo maana hawana time hao wanaangalia pesa tu.
Hizi zenye ubia na gvt wanajifanya Polisi wsng sana hawa
Dah ni hatar mnokuna jamaa almpgia mshkaj wake yuko irnga ntumie akaunt yako kuna hela naweka nakuja kununua mbao uko za kuuza jamaa kwakua wanafahamiana akamtumia mchz msg kusoma kias cha ml 60 kimewekwa kwenye akaunt yako akakausha akimsubr jamaa ake aje akachukue mzgo wake ikapta mwez mara mwez wa tatu akimpgia hapatikan jamaa akaona isiwe tabu ngoja nkatoe hata lak mbil nlipe kod ile kafka benk kwenye ATM anatoa hela haitok ikbd azame ndan kutoa kufpsha stor jamaa yuko segerea ad leo na mchiz wake haonekan na ajulkan alipo
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Utahojiwa ukitaka kutoaWakuu habari
Nauliza kama thread inavyosema.
Unaweza kuweka pesa kiasi gani kwa mkupuo Watu wa benki wasishtuke na kuanza kukuuliza maswali kwamba umezitoa wapi unafanya kazi gani nk .
Natanguliza shukrani.
kuna jamaa almpgia mshkaj wake yuko irnga ntumie akaunt yako kuna hela naweka nakuja kununua mbao uko za kuuza jamaa kwakua wanafahamiana akamtumia mchz msg kusoma kias cha ml 60 kimewekwa kwenye akaunt yako akakausha akimsubr jamaa ake aje akachukue mzgo wake ikapta mwez mara mwez wa tatu akimpgia hapatikan jamaa akaona isiwe tabu ngoja nkatoe hata lak mbil nlipe kod ile kafka benk kwenye ATM anatoa hela haitok ikbd azame ndan kutoa kufpsha stor jamaa yuko segerea ad leo na mchiz wake haonekan na ajulkan alipo
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Unawafahamu watu wanaitwa FIU(Finance Intelligence Unit-Tanzania)?Upo sahihi, kikubwa ni KYC unavyoijaza. Lazima umuulize mteja kipato chake kwa mwezi au kwa mwaka. Na ni vizuri kumshauri awe anaupdate taarifa zake kila mara zinapobadilika hasa kipato chake kama kinaongezeka sana.
Kuhusu kutoa benki huwa wanakaza tu ili kulinda deposits zao maana wakiruhusu kila mteja atoe pesa zake zote watakosa deposit. Hii naongea nikiwa nafaham vizuri maana hadi tuliwahi anzisha mchakato wa kuwatembelea wafanya biashara kuwaomba walete pesa zao benki na wale wanaotoa pesa nyingi tunawashauri watoe kidogo kidogo.
Benki haiwezi kumnyima mteja pesa zake pindi anapozihitaji.
Utahojiwa ukitaka kutoa
Hata ukipokea kama transfer above 10M au 10K USD. Utauliza details za mtumaji.
Hii ni Kwa mujibu wa AML ( nilisumbuana sana na benki Moja Kwa kuwa aliyetuma ni Mimi na anaetokea ni Mimi ila akaunt ipo nje na sijawahi kufika kwenye hiyo nchi). Baadae walielewa.
Mwezi wa Pili napo nilienda kutoa above 50M wakaniita hizi pesa unaenda kufanyia Nini? Nikawaambia nna ujenzi. Wakasema SI ufanye transfer? Nikawajibu hapo wanaolipwa ni watu tofautitofauti, Kuna vibarua, hardware kadhaa n.k
Japo ni risk lakini. Kuna watu wanafuatilia watu kuanzia benki ndani unaweza kupoteza maisha Kwa 5M.
Mbona ni hatari sana hii mkuu, kwenye banks zenu uchwara huwa siweki pesa nyingi.Hata ukipokea kama transfer above 10M au 10K USD. Utauliza details za mtumaji.
Hii ni Kwa mujibu wa AML ( nilisumbuana sana na benki Moja Kwa kuwa aliyetuma ni Mimi na anaetokea ni Mimi ila akaunt ipo nje na sijawahi kufika kwenye hiyo nchi). Baadae walielewa.
Mwezi wa Pili napo nilienda kutoa above 50M wakaniita hizi pesa unaenda kufanyia Nini? Nikawaambia nna ujenzi. Wakasema SI ufanye transfer? Nikawajibu hapo wanaolipwa ni watu tofautitofauti, Kuna vibarua, hardware kadhaa n.k
Japo ni risk lakini. Kuna watu wanafuatilia watu kuanzia benki ndani unaweza kupoteza maisha Kwa 5M.