Je, ni kiasi gani cha fedha unaweza ku-deposit benki bila kuulizwa umezitoa wapi?

kuna jamaa almpgia mshkaj wake yuko irnga ntumie akaunt yako kuna hela naweka nakuja kununua mbao uko za kuuza jamaa kwakua wanafahamiana akamtumia mchz msg kusoma kias cha ml 60 kimewekwa kwenye akaunt yako akakausha akimsubr jamaa ake aje akachukue mzgo wake ikapta mwez mara mwez wa tatu akimpgia hapatikan jamaa akaona isiwe tabu ngoja nkatoe hata lak mbil nlipe kod ile kafka benk kwenye ATM anatoa hela haitok ikbd azame ndan kutoa kufpsha stor jamaa yuko segerea ad leo na mchiz wake haonekan na ajulkan alipo

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Ni suala la Common sense tu, na wewe kwa nini uwe na pesa zisizo na maelezo?.

Nadhani hata Benki bila shinikizo la nje watakuwa interested kujua imekuwaje ghafla umedeposit bilioni moja?.

Kama ni mimi nina hizo pesa kabla ya kudepositi nitaomba kumuona Meneja nimjulishe nilipopata pesa maana hata kuziweka kimya kimya inatia shaka kuliko kudhani ni suala lako binafsi.
 
Labda km tangu mwanzo walieleza akaunti zao zitakuwa na Big deposits.

Huwezi kufungua account km muuza nyanya mwenye kipato cha laki 1 kwa mwezi then uweke mil 500 bank ikuwekee tu bila kukuhoji.

Kawaida huulizwi hapo hapo. Utaweka fresh tu ila after some days watu wa compliance wanakutafuta
Upo sahihi, kikubwa ni KYC unavyoijaza. Lazima umuulize mteja kipato chake kwa mwezi au kwa mwaka. Na ni vizuri kumshauri awe anaupdate taarifa zake kila mara zinapobadilika hasa kipato chake kama kinaongezeka sana.

Kuhusu kutoa benki huwa wanakaza tu ili kulinda deposits zao maana wakiruhusu kila mteja atoe pesa zake zote watakosa deposit. Hii naongea nikiwa nafaham vizuri maana hadi tuliwahi anzisha mchakato wa kuwatembelea wafanya biashara kuwaomba walete pesa zao benki na wale wanaotoa pesa nyingi tunawashauri watoe kidogo kidogo.

Benki haiwezi kumnyima mteja pesa zake pindi anapozihitaji.
 
Lengo la kuuliza source ya hela sio baya,na kama walikuwa hawaulizi walikuwa wanafanya makosa,hii ni sheria ya Bank nyingi tu duniani.Inasaidia pale inapotokea kama hizo hela sio za halali Bank inakuwa imeepuka usumbufu wa polisi au vyombo vya sheria n.k. kwani hii inachafua jina la Bank kibiashara...
 
Bank za serikali hizi wanahoji sana mm kaka yang kuna kipind alikuwa kila baada ya siku 2 lazma akaweke NMB 30M na ni chalii tu mbona walimwita na kuanza kumuuliza kazi yake.
Ila Bank kama Barclays, Standard chartered ndio weng huwa wanakimbilia kuweka pesa nying kwa mkupuo maana hawana time hao wanaangalia pesa tu.
Hizi zenye ubia na gvt wanajifanya Polisi wsng sana hawa
Mwenyewe siwezi kuwa na mpunga wa kuzidi ukaweke Benki ya wakulima au ushirika 🤣 unatafta matatizo
 
kuna jamaa almpgia mshkaj wake yuko irnga ntumie akaunt yako kuna hela naweka nakuja kununua mbao uko za kuuza jamaa kwakua wanafahamiana akamtumia mchz msg kusoma kias cha ml 60 kimewekwa kwenye akaunt yako akakausha akimsubr jamaa ake aje akachukue mzgo wake ikapta mwez mara mwez wa tatu akimpgia hapatikan jamaa akaona isiwe tabu ngoja nkatoe hata lak mbil nlipe kod ile kafka benk kwenye ATM anatoa hela haitok ikbd azame ndan kutoa kufpsha stor jamaa yuko segerea ad leo na mchiz wake haonekan na ajulkan alipo

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Dah ni hatar mno
 
Kesi haikusikilizwa iringa ikahamishiwa dar. Aiseee
 
Upo sahihi, kikubwa ni KYC unavyoijaza. Lazima umuulize mteja kipato chake kwa mwezi au kwa mwaka. Na ni vizuri kumshauri awe anaupdate taarifa zake kila mara zinapobadilika hasa kipato chake kama kinaongezeka sana.

Kuhusu kutoa benki huwa wanakaza tu ili kulinda deposits zao maana wakiruhusu kila mteja atoe pesa zake zote watakosa deposit. Hii naongea nikiwa nafaham vizuri maana hadi tuliwahi anzisha mchakato wa kuwatembelea wafanya biashara kuwaomba walete pesa zao benki na wale wanaotoa pesa nyingi tunawashauri watoe kidogo kidogo.

Benki haiwezi kumnyima mteja pesa zake pindi anapozihitaji.
Unawafahamu watu wanaitwa FIU(Finance Intelligence Unit-Tanzania)?

Ungewajua hao ungejua bank zinawajibikaje kwa hao jamaa na hakuna mchezo kwny hilo.
 
Utahojiwa ukitaka kutoa

Hata ukipokea kama transfer above 10M au 10K USD. Utaulizwa details za mtumaji.

Hii ni Kwa mujibu wa AML ( nilisumbuana sana na benki Moja Kwa kuwa aliyetuma ni Mimi na anaepokea ni Mimi ila akaunt ipo nje na sijawahi kufika kwenye hiyo nchi). Baadae walielewa.

Mwezi wa Pili napo nilienda kutoa above 50M wakaniita hizi pesa unaenda kufanyia Nini? Nikawaambia nna ujenzi. Wakasema si ufanye transfer? Nikawajibu hao wanaolipwa ni watu tofautitofauti, Kuna vibarua, hardware kadhaa n.k

Japo ni risk lakini. Kuna watu wanafuatilia watu kuanzia benki ndani unaweza kupoteza maisha Kwa 5M.
 
Hata ukipokea kama transfer above 10M au 10K USD. Utauliza details za mtumaji.

Hii ni Kwa mujibu wa AML ( nilisumbuana sana na benki Moja Kwa kuwa aliyetuma ni Mimi na anaetokea ni Mimi ila akaunt ipo nje na sijawahi kufika kwenye hiyo nchi). Baadae walielewa.

Mwezi wa Pili napo nilienda kutoa above 50M wakaniita hizi pesa unaenda kufanyia Nini? Nikawaambia nna ujenzi. Wakasema SI ufanye transfer? Nikawajibu hapo wanaolipwa ni watu tofautitofauti, Kuna vibarua, hardware kadhaa n.k

Kufanya transfer wanafaidika benki through charges
 
Mbona ni hatari sana hii mkuu, kwenye banks zenu uchwara huwa siweki pesa nyingi.
 
Back
Top Bottom