Mbona ni hatari sana hii mkuu, kwenye banks zenu uchwara huwa siweki pesa nyingi.
Bank mkuu.Wanaohoji ni Banks au kitengo cha Polisi?
Transfer to other bank ni 11,800 tu wakati ukitoa cash over the counter above 50 charges inaweza kufika ht 40kKufanya transfer wanafaidika benki through charges
Yanaweza kuchochea ugaidi.Ndugu zangu nipeni elimu kidogo kuhusu madhara ya money laundering kwenye mfumo wa kifedha..Nitashukuru sana.
Kama hawakunihoji wakati naziweka watanihoji vipi wakati nazitoa?Upo sahihi, bank huwa wanahoji kutoa pesa kubwa kwa mkupuo na sio kuweka
😳😳kuna jamaa almpgia mshkaj wake yuko irnga ntumie akaunt yako kuna hela naweka nakuja kununua mbao uko za kuuza jamaa kwakua wanafahamiana akamtumia mchz msg kusoma kias cha ml 60 kimewekwa kwenye akaunt yako akakausha akimsubr jamaa ake aje akachukue mzgo wake ikapta mwez mara mwez wa tatu akimpgia hapatikan jamaa akaona isiwe tabu ngoja nkatoe hata lak mbil nlipe kod ile kafka benk kwenye ATM anatoa hela haitok ikbd azame ndan kutoa kufpsha stor jamaa yuko segerea ad leo na mchiz wake haonekan na ajulkan alipo
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Miliki kwanza account ya bank ndio utaelewa otherwise endelea kumiliki account ya m-pesa tuKama hawakunihoji wakati naziweka watanihoji vipi wakati nazitoa?
Pia walimuhitaji afanye transfer kwa lengo la kulinda mtaji wao , Tofaut na ukitoa 50M kwa wakati mmoja bank inakuwa imepoteza kamzunguko flan hv , so ukifanya transfer wanahesabu kwamba pesa bado ipo kwenye mzunguko wao.Transfer to other bank ni 11,800 tu wakati ukitoa cash over the counter above 50 charges inaweza kufika ht 40k
Yah. Of course ili bank isimame laziim iwe na big capital ambayo inatokana na big deposits za customers wake.Pia walimuhitaji afanye transfer kwa lengo la kulinda mtaji wao , Tofaut na ukitoa 50M kwa wakati mmoja bank inakuwa imepoteza kamzunguko flan hv , so ukifanya transfer wanahesabu kwamba pesa bado ipo kwenye mzunguko wao.
Ujue bank nazo mtaji mkubwa Ni pesa ambazo wateja wameweka kwenye account