Je, ni kiasi gani cha fedha unaweza ku-deposit benki bila kuulizwa umezitoa wapi?

Je, ni kiasi gani cha fedha unaweza ku-deposit benki bila kuulizwa umezitoa wapi?

Mbona ni hatari sana hii mkuu, kwenye banks zenu uchwara huwa siweki pesa nyingi.

Benki Gani hiyo unaweka pesa zako isiyo na uchwara wa kufuata taratibu za AML na BoT kama regulator?

Kati ya hizo benki nimetaja hapo mojawapo ni ya kimataifa. Kikubwa kama pesa zako ni safi na maelezo yamenyooka hakuna sababu ya kuwa na hofu.
 
kuna jamaa almpgia mshkaj wake yuko irnga ntumie akaunt yako kuna hela naweka nakuja kununua mbao uko za kuuza jamaa kwakua wanafahamiana akamtumia mchz msg kusoma kias cha ml 60 kimewekwa kwenye akaunt yako akakausha akimsubr jamaa ake aje akachukue mzgo wake ikapta mwez mara mwez wa tatu akimpgia hapatikan jamaa akaona isiwe tabu ngoja nkatoe hata lak mbil nlipe kod ile kafka benk kwenye ATM anatoa hela haitok ikbd azame ndan kutoa kufpsha stor jamaa yuko segerea ad leo na mchiz wake haonekan na ajulkan alipo

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
😳😳
 
Transfer to other bank ni 11,800 tu wakati ukitoa cash over the counter above 50 charges inaweza kufika ht 40k
Pia walimuhitaji afanye transfer kwa lengo la kulinda mtaji wao , Tofaut na ukitoa 50M kwa wakati mmoja bank inakuwa imepoteza kamzunguko flan hv , so ukifanya transfer wanahesabu kwamba pesa bado ipo kwenye mzunguko wao.

Ujue bank nazo mtaji mkubwa Ni pesa ambazo wateja wameweka kwenye account
 
Yah. Of course ili bank isimame laziim iwe na big capital ambayo inatokana na big deposits za customers wake.

Ikiyumba kwenye deposit ht kutoa loans Inakuwa issue. Na bila kutoa loans hakuna profits/interests
 
Back
Top Bottom