Je, ni kipimo gani cha ubora katika ndoa

Je, ni kipimo gani cha ubora katika ndoa

joseph2

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2015
Posts
458
Reaction score
1,032
Habari zenu wanajamii forums? Mimi nataka kujuwa kitu kimoja kutoka kwenu nduguzanguni.

Kuna msemo ambao wazungu wanapenda kusema pale wasipo kuwa hawana uhakika na kitu. Mara nyingi husema "time will tell " wakiwa na maana mda utasema.

Sasa swali langu ni hivi je katika suala la ndoa mda unaweza kuwa kipimo cha upendo katika doa? Au mda sio kipimao kwenye ndoa hasa katika jamii za ki Africa kama sio katika jamii za watu weusi!

Je kama mda hautoshi kupima uimara wa ndoa ,ni kitu ngani kinafaa kupjma ubora wa ndoa?
 
Ndoa haipimwi kwa kitu mana ina mambo mengi mno
We mwenyewe kadri unavyozidi kukaa humo utajipima tu
 
Back
Top Bottom