Je, ni kisa gani cha kweli lakini cha kuogopesha na kusisimua ulichowahi kusimuliwa na mwanamke? Ulijifunza nini kutokana na kisa hicho?

Nyaka-One

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2013
Posts
4,730
Reaction score
6,736
Binafsi nimebahatika kuwa na mahusiano ya kawaida na akina dada/mama na katika simulizi za kweli za baadhi yao hapa ningependa ku-share nanyi baadhi ya visa hivyo kama ifuatavyo:

Wa kwanza: Huyu dada aliwahi kuwa girlfriend wa nabii mmoja maarufu nchini mwenye kanisa lake njia ya kuelekea Tegeta jijini Dar. Alinisimulia kwamba jamaa mgongo wake wote kajaa machale makubwa na ya kutisha kabisa. Hakujua aliyapataje. Dada anadai ilikuwa ndiyo siku ya kwanza kwake kukutana na huyo nabii chumbani na baada ya kumwona na makovu hayo ya chale aliogopa sana na kupoteza kabisa hamu ya kufanya mapenzi pamoja na kuahidiwa kupewa fedha nyingi na huyo mtumishi wa "Mungu" kama siyo shetani. Mtumishi alipoona dada wa watu kagoma kabisa akimruhusu kuondoka huku akimtishia maisha akimtaka asithubutu kutoa nje hiyo siri ya machale yake.

Wa pili: Nakiri huyu dada ni mzuri wa sura na umbo. Yeye alinisimulia kwamba alikuwa kaolewa huko mkoani na bwana mmoja mwenye biashara za mabucha. Kwa maelezo yake jamaa alikuwa mkorofi na katili sana. Katika moja ya masahibu aliyokutana nayo kwa huyo bwana kuna wakati jamaa alimfukuza kwa hasira huyo mwanamke akiwa na kile chuma cha kushikilia nyama buchani chenye ncha kali na chenye mfanano wa ndoana ili amgonge nacho kichwani kwa lengo la kumuua. Dada alipokwenda kwao kutokana na hali ya umaskini wa wazazi wake wakaogopa kuishi nae nyumbani au kuchukua hatua yoyote ya kisheria dhidi ya yule jamaa. Badala yake wakaenda kumficha porini ambako alikaa kwa mwezi mzima huku akipelekewa chakula kwa siri na ndugu zake hadi baadae alipofanikiwa kutoroka na kwenda mkoa mwingine.

Wa tatu: Hiki nilisimuliwa na dada mmoja ambaye alikuwa na ukaribu sana na mama mmoja mtu mzima kabisa aliyekuwa kafiwa na mmewe. Huyu mama mtu mzima na mmewe (kabla hajafariki) walikuwa ni watu wenye nafasi zao kubwa tu katika serikali na jamii kwa ujumla. Yule dada aliyenisimulia alisema siku moja katika mazungumzo na huyo mama mtu mzima, alimwambia alivyomshukuru Mungu baada ya mmewe kufariki maana kwa maelezo yake mmewe alikuwa mkorofi na dikteta sana kwake na ndani ya familia kwa ujumla na sasa anaona amepata ahueni kwa mmewe kufariki.

Wa nne: Daah huyu dada nae ni mzuri kweli kwa sura na umbo. Dada wa kimeru. Huyu alinisimulia kuwa alikuwa akiishi na bwana mmoja na kuzaa nae watoto wawili baadae wakaachana kutokana na mateso na manyanyaso aliyokuwa akiyapata kutoka kwa huyo jamaa ambaye hakuwahi kufunga nae ndoa. Huyo dada alisema katika moja ya mambo mabaya aliyokuwa nayo huyo bwana ni kumlazimisha mwanamke kukubali kutoa mtoto wao mmoja kwa ajili ya kafara ili waweze kupata mali. Jamaa alimlazimisha mara kadhaa na siku zote dada hakuwa tayari huku jamaa akisisitiza kwamba kumtoa kafara mtoto mmoja ingesaidia familia kupata fedha nyingi ambazo zingewasaidia wao kama wazazi, mtoto wao atakaebaki na hata watoto wengine ambao wangekuja kuzaliwa baadae wangepata maisha mazuri kupitia mgongo wa atakaetolewa kafara. Hatimaye dada aliamua kumtoroka jamaa na watoto wote wawili baada ya jamaa kudai kwamba angemuua na kubaki na hao watoto ambapo baadae angetimiza azma yake ya kumtoa kafara mmojawapo.

Wa tano: huyo mama alinisimulia kuhusu jamaa aliyeishi nae miaka saba ambapo walibahatika kupata mtoto mmoja kabla ya kuachana baadae. Huyu mama alidai jamaa yake alikuwa ni mtu mwenye gubu sana na kwamba miaka mitatu ya mwishoni kabla ya kuachana jamaa jogoo lake lilikuwa haliwiki kabisa na ikitokea limewika basi ni dakika chache tu halafu mchezo umeisha na baada ya hapo hata mwezi utapita bila jogoo kuwika tena. Basi kutokana na hali hiyo mwanamke akaamua kukaa na kuugulia maumivu ya kutopata unyumba kwa miaka mitatu mfululizo hadi walipokuja kuachana. Lakini katika kipindi cha miaka hiyo mitatu ya mwishoni mwanamke alikuja kugundua na kujiridhisha pasi na shaka kwamba huyo bwanake alikuwa ni msenge.

Wa sita: huyu mama alikuwa kaolewa na mmoja wa watu wangu wa karibu na kubahatika kuzaa nae watoto watatu kabla ya kuachana kutokana na tabia za manyanyaso na kutojali za mmewe. Huyo mama alidai aligundua bwanake ana mwanamke mwingine na kwamba tayari alikuwa kazaa nae na kapangishia vyumba sehemu na ndiyo sababu hakuwa akumjali yeye wala watoto. Katika simulizi yake kilichokuja kuniogopesha ni pale alipodai kwamba alikuwa ameshapanga kumchoma bwanake kwa kisu na kumuua na kwamba kama hilo lisingefanikiwa basi angetumia hata sumu ya kuweka kwenye chakula ili kumwuua jamaa na watoto! Na ikaonekana hata baada ya kuwa wameachana huyo mwanamke bado ana hasira inayoweza kupelekea kutekeleza jambo hilo.

Jamani hizi kuta nne ndani ya majumba yetu zina mambo makubwa na ya kutisha. Kupitia uzi huu kuna mambo tujifunze pengine yakatuepusha na tusiyoyatarajia.
 
Jamaa unaonekana mmbeya sana wewe. Friji bovu kabisa halina hata milango.
Sikuwahi kusimulia popote hizo stori kwa zaidi ya miaka kumi. Ndiyo leo nimeona niziweke hapa nikiamini patakuwa na chochote kitu cha kujifunza. Hata CIA kuna top secrets tena za maovu ambayo wameyatenda wao wenyewe kabisa lakini baada ya muda fulani kupita uamua kuyaweka hadharani.
 
Watu wanapitia Mengi sana kuna funzo hapa.
 
Mnaanzaje kuwasengenya wenzenu? Hiyo si tabia nzuri.

Ova
 
Mhuuuuu, wew wanawake unawajua Kwa kutunga story? Tegemea hata ww kunasehemu watakusimulia pia!
ina depend na ni aina gani ya wanawake bro ukiona mwanamke kizazi cha millenium wanasema amekusimulia mkasa wake tambua kuwa kuna ukweli ndani yake lakini sio kwa hawa maslay queen wa mjini
 
Wanawake ni viumbe waongo na wanafiki,hapo wanakupa story za uongo ili uingie kingi ukute hata walitoa machozi wakati wanakupa hizo stori kukuchota,na kuhakikiishia 90% ya hizo stori ni uongo walikuona boya hujielewi.
 
Nafikiri muda huo na hata sasa bado nina uwezo wa kumsoma mtu na kuchambua kile anachoniambia kama ni uongo au la. But from the stories if you're really a good learner you can still single out some of the things one ought to learn.

Hebu imagine mtu anakusimulia alivyokuwa kapanga kumuua mmewe kwa kumchoma na kisu na unaona kabisa anavyobadilika usoni kwa hisia dakika hiyo anayotoa hiyo kauli, bado utashawishika kuona kama anadanganya kwa kutamka jambo zito kama hilo?
 
Back
Top Bottom