Je, ni kisa gani cha kweli lakini cha kuogopesha na kusisimua ulichowahi kusimuliwa na mwanamke? Ulijifunza nini kutokana na kisa hicho?

I don't kiss and tell,acha ushamba
It's only a few people who're close-lipped but most of the people especially women can't maintain a discreet silence. That's how they were created.

By the way ahsante kwa kuniita mshamba.
 
Mhuuuuu, wew wanawake unawajua Kwa kutunga story? Tegemea hata ww kunasehemu watakusimulia pia!
Uko sahihi kabisa. Mwanamke au niseme wanaondoa walioachana usitegemee mmoja aseme mwenzake alikuwa mzuri na yeye ndiye aliyekuwa mbaya. Kama wanawake ni wazuri sana kutupia lawama upande wa pili.
 
Uko sahihi kabisa. Mwanamke au niseme wanaondoa walioachana usitegemee mmoja aseme mwenzake alikuwa mzuri na yeye ndiye aliyekuwa mbaya. Kama wanawake ni wazuri sana kutupia lawama upande wa pili.
Okay, tuchukulie wanawake wenyewe ndiyo walikuwa ni wabaya na wanataka waonekane kuwa walikuwa ni wazuri. Lakini vipi kuhusu mwanamke huyo huyo mbaya kukiri kufurahia mmewe kufa na sasa ana ahueni au kukiri kutaka kumwua mmewe kwa kumchoma kisu nako walikuwa wakikiri kimaigizo ili waonekane ni wazuri?
 
Don't trust women....
 
Mdada mmoja alinisimulia alishawahi kutumika kama pusher kupeleka mzigo India,jinsi wanavyolishwa pipi mpk wanavyozitoa wakifika huko,ameshaacha kwa sasa ila alifanikiwa kujenga nyumba akiwa na miaka 20,na wenzake wawili walikufa kwa vifo vya kulipukiwa na dawa zikiwa tumboni,hata yeye kisa cha kuacha ilikua alipofikisha mzigo ulikataa kutoka hivyo alihangaika kwa masaa mengi ndio ukatolewa,alisema ilikuwa ni life and death,kwakweli mwili ulinisisimka, kwani alikuwa ni mdogo sana kwa wakati ule...
 
Hivi inawezekanaje mtu akajifichaa porini mwezi mzima huku akiletewa chakula na ndugu zake Ili tu kutafuta fursa ya kutorokea mkoa mwingine!??
 
Hi

Unayo degree ya miaka mingapi ya Bachelor maana naona upo single mpaka sasa nyeto ndo zinakufaliji kijana...

Ukisikiliza udaku kama huu kwa wanawake utakuja kuota maziwa maana hivyo viumbe ni waongo kupitiliza maisha yao ni bongo movie.
 
Hi


Unayo degree ya miaka mingapi ya Bachelor maana naona upo single mpaka sasa nyeto ndo zinakufaliji kijana...
Sawa na ahsante. Ila kumbuka humu hatufahamiani. Sikulaumu.
 
We jamaa una uhakika wewe ni mwanaume..

Kufatilia huo umbeya ni kitu kingine na kuja kusimulia tena kwa kuandika ni kitu kingine.
 
Hivi inawezekanaje mtu akajifichaa porini mwezi mzima huku akiletewa chakula na ndugu zake Ili tu kutafuta fursa ya kutorokea mkoa mwingine!??
Kwamba haiwezekani eh?
 
We jamaa una uhakika wewe ni mwanaume..

Kufatilia huo umbeya ni kitu kingine na kuja kusimulia tena kwa kuandika ni kitu kingine.
Unahitaji kujua kama mimi ni mwanaume kweli? Kama ni mwanamke karibu sana. Besides, hauwezi kujua ni nini kilipelekea mimi kupata fursa ya kuhadithiwa hayo yote. Kwa mfano kipindi cha Njia Panda cha Clouds FM chenye visa vingi na pengine vya kutisha na kusisimua kuliko hivi nilivyoleta hapa, utasema Dr. Isack Maro na wasikilizaji wa kipindi wote ni wambeya? Au wewe uliyefuatilia thread toka mwanzo hadi usomapo comment hii na wewe ni mbeya? I don't think so. Further, is sharing life experience a bad thing?
 
We jamaa nina mashaka na maisha yko inaonesha unapenda udaku sanaaa
 
We jamaa nina mashaka na maisha yko inaonesha unapenda udaku sanaaa
Na ukaufuatilia udaku wenyewe mwanzo hadi ukafika mwisho na kisha ukaandika comment? What's the difference between you and I? Very interesting.
 
Nimesoma kisa cha kwanza nimeishia mwanzoni.

Nataka kukwambia kwamba, baada ya kuachana na huyo msichana/dada/mama/mwanamke, akipandwa na bwana ake mpya anakupondea kama/zaidi ya nabii
 
Sawa ila nikushauri tu kwamba usipende kusikilizq matatizo ya watu kwenye maisha wakati wew unayo ya kwako na hakuna wa kutatua
Acha ujuaji wa kitoto. Ina maana wewe katika maisha yako haujawahi kusimuliwa na ukasikiliza tatizo la mtu yeyote huku na wewe ukiwa na matatizo yako? Who on earth hasn't come accross any challenges prompting him or her to seek relief from others?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…