Mbabaishaji Senior Member Joined Nov 13, 2018 Posts 121 Reaction score 215 Aug 30, 2024 #1 Nauliza, Je nikosa kisheria kutumia mtandao wa internet wa Nchi nyingine ndani ya Tanzania Kwa matumizi binafsi?
Nauliza, Je nikosa kisheria kutumia mtandao wa internet wa Nchi nyingine ndani ya Tanzania Kwa matumizi binafsi?
Paroco JF-Expert Member Joined Dec 24, 2017 Posts 2,389 Reaction score 10,595 Aug 30, 2024 #2 unaelewa ulichokiandika?
Chipukizi JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 4,409 Reaction score 6,773 Aug 30, 2024 #3 Mbabaishaji said: Nauliza, Je nikosa kisheria kutumia mtandao wa internet wa Nchi nyingine ndani ya Tanzania Kwa matumizi binafsi? Click to expand... Ni kosa - mpaka TCRA waruhusu
Mbabaishaji said: Nauliza, Je nikosa kisheria kutumia mtandao wa internet wa Nchi nyingine ndani ya Tanzania Kwa matumizi binafsi? Click to expand... Ni kosa - mpaka TCRA waruhusu
Mbabaishaji Senior Member Joined Nov 13, 2018 Posts 121 Reaction score 215 Aug 30, 2024 Thread starter #4 Chipukizi said: Ni kosa - mpaka TCRA waruhusu Click to expand... Ok, vipi kuhusu simu za satellite.
Chipukizi JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 4,409 Reaction score 6,773 Aug 30, 2024 #5 Mbabaishaji said: Ok, vipi kuhusu simu za satellite. Click to expand... Simu na ata Internet Dish kuna ambazo TCRA wanaruhusu kutumika Hapa Nchini mfano Iway Africa.
Mbabaishaji said: Ok, vipi kuhusu simu za satellite. Click to expand... Simu na ata Internet Dish kuna ambazo TCRA wanaruhusu kutumika Hapa Nchini mfano Iway Africa.