Ninaomba msaada wa kitaalamu. Nimeshindwa kujua kama ni uke wa wife ndo umepanuka au mie ndo nina kibamia! Huu ni mwaka wa 10 ndani ya ndoa tuna watoto 4 na tayari tumefunga uzazi miaka 3 ilopita. Mwenzangu hunilaumu simridhishi. nami nahisi sipati raha halisi na hivo napiga kamoja tu na kulala... Msaada wa mawazo plse!

- Hapana usiwe na hayo mawazo, wote mko sawa. Swala la kuridhishana hakuna ukubwa wala udogo.
- Ubunifu wa mikao utatatua tatizo lenu, na kila mmoja atalizika.
- Pia kaeni na kuzungumza kila mmoja amweleze mwenzake anazani mkao gani ni bora zaidi kwake.
Duh.....wewe una mke kweli wewe?