Je, ni kupanuka uke... au kibamia changu?

Je, ni kupanuka uke... au kibamia changu?

KEFODAW

Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
34
Reaction score
2
Ninaomba msaada wa kitaalamu. Nimeshindwa kujua kama ni uke wa wife ndo umepanuka au mie ndo nina kibamia! Huu ni mwaka wa 10 ndani ya ndoa tuna watoto 4 na tayari tumefunga uzazi miaka 3 ilopita. Mwenzangu hunilaumu simridhishi. nami nahisi sipati raha halisi na hivo napiga kamoja tu na kulala... Msaada wa mawazo plse!
 
Chukulianeni mizigo, jitahidi mzee uwe unarudia kapili, kamoja kanawasha tu basi anabakia na kimuhemuhe bado..au huwa una funga goli kwa penalty (yaani sekunde mzigo unashuka), anza goli hadi goli lingine kwa kutumia pasi za kutosha...then weka goli...
 
Jaribu kufanya mazoezi madogodogo ata ya kuruka kichura ukaze msuli wa paja then kula Karanga na majuic ya nanasi na kikombe cha maziwa then rudi kwa wife, mi napiga goli tano ndo nalala fweeeee!!!
 
Ninaomba msaada wa kitaalamu. Nimeshindwa kujua kama ni uke wa wife ndo umepanuka au mie ndo nina kibamia! Huu ni mwaka wa 10 ndani ya ndoa tuna watoto 4 na tayari tumefunga uzazi miaka 3 ilopita. Mwenzangu hunilaumu simridhishi. nami nahisi sipati raha halisi na hivo napiga kamoja tu na kulala... Msaada wa mawazo plse!

Mkuu KEFODAW, niletee mimi huyo mtu nitakusaidia kumtibu maradhi yanayomsumbua!
 
Last edited by a moderator:

  • Hapana usiwe na hayo mawazo, wote mko sawa. Swala la kuridhishana hakuna ukubwa wala udogo.
  • Ubunifu wa mikao utatatua tatizo lenu, na kila mmoja atalizika.
  • Pia kaeni na kuzungumza kila mmoja amweleze mwenzake anazani mkao gani ni bora zaidi kwake.
 
supu ya pweza ama ngisi nayo inasaidia mkuu.
 
Nawashukuruni nyote mlotumia muda wenu kunipa ushauri. Kwa kweli baada ya kuzisoma reply zenu nimekuwa na matumaini kuwa tatizo litaweza kuisha hata kama ni kwa muda mrefu. Nitarudi kuwapa matokeo zaidi.
 
Duh.....wewe una mke kweli wewe?

Mkuu Magnificent, sorry sijakuelewa unaponiuliza... kama nina mke kweli mimi!... je, wewe unadhani sina mke kwa maana kuwa ninawadanganya wana jf?.. au ninaye mke asiye wa kawaida? au ni nini hasa!?... Nifafanulie tafadhali.
 
Mkuu KEFODAW, niletee mimi huyo mtu nitakusaidia kumtibu maradhi yanayomsumbua!

No, thank u Izz. Ngoja kwanza nijaribu kutumia ushauri wa wana jf wengine. Tutawasiliana.
 
Last edited by a moderator:
Dawa ni hii hapa.: ukienda kukojoa pale unakojoa kidogo alaf unaubana mkojo bila kushika mashine lakini Yani unafanya kama unakatisha mkojo kwa sekunde tatu hadi nne alaf unaachia kidogo alaf unaubana teena kwa sekunde kama 5 hv alaf unauachia kwa sekunde kadhaa alaf unaubana kwa sekunde kama 2..ukiweza kuubana mkojo na kuuachia ndo inakua umeweza kuu locate huo mshipa na ukifanya hivyo unakua Unaufanyisha mazoezi..ni kazi siku za Kwanza lakini utazoea..ila badili lishe pia maziwa na Mboga za majani, na samaki kula..
 
Fanya mazoezi sana lala mchana avoid vyakula vya mafuta
 
Kaka usijali. Kuna watu nawafahamu walikuwa na shida kama yako sasa wapo poa. Piga tizi kama mdau mmoja anavyokwambia hapo juu. Hasa pushup na mazoezi ya kukimbia.
Pili nenda hospital waeleze kuna dawa flani hivi watakupatia.
Tatu tafuna Karanga, Maji ya madafu, Kahawa, Pweza au kama unaubavu uwe unakoroga shubiri kama nusu kikombe kila siku usiku kabla ya kulala.
 
Yenyewe inauma sana mkuu unapoambiwa na mke wako kuwa humridhishi kitandani pole sana.Kiukweli jaribu kutoa hayo mawazo kwa akili yako, maneno aliyokuambia mkeo ingawaje inakuwa ngumu ila nakuomba ujaribu.Pili fwata shauri za baadhi ya watu hapo juu mambo na diet zoezi nakadhalka...:A S thumbs_up:
 
Khaa! Wengine huwa wanamadepe hata ufanyeje hawasikii..,niliwahi kukutana na mmoja akaniambia eti "siwezi kusikia mpaka mtu mwenye nguvu'' nikapigwa na butwaa inamaana sina nguvu na kupiga kote huku alafu yee mwenyewe mambo yake ni ilikuwa km ndoo ya lita 40,taabu kweli.
 
Ninaomba msaada wa kitaalamu. Nimeshindwa kujua kama ni uke wa wife ndo umepanuka au mie ndo nina kibamia! Huu ni mwaka wa 10 ndani ya ndoa tuna watoto 4 na tayari tumefunga uzazi miaka 3 ilopita. Mwenzangu hunilaumu simridhishi. nami nahisi sipati raha halisi na hivo napiga kamoja tu na kulala... Msaada wa mawazo plse!

yaaaani bro hapo ni short-cut tu.....VIAGRA NDO MPANGO MZIMA..
 
Back
Top Bottom