je ni kutofanya muda mrefu au vp?

je ni kutofanya muda mrefu au vp?

kama huo ute hauna harufu piga mashine kwa muda mrefu inawezekana hajui kujisfisha!
 
Inaonekana Preta hajawahi kufika peak vizuri. Msaidieni jamani
 
khaaaaa.........hiii mbona sijawahi kuona.......?

Utakuwa umezoea mende kajifia style uwe mtundu kama jamaa hajafanya wiki mbili na akiwa chini wewe juu jamaa akitema kikombe cha gahawa kinajaa mpaka godoro linalowa ni hatari kwa usalama wa godoro ndo maana Bukoba wanapiga nylon godoro.
 
asante sana mkuu ni mazito hayanuki nadhan itakuwa kama ulivosema hapo juu ila vp eti kuna uhusiano wowote hali kama hyo au yoyote na yeye kushiriki na m2 ktk cku zilizopita na huo uchafu?
mh!sidhani ndo kwanza nimesikia kwako.
 
sijambo mwaya.....eti wewe umewahi kuona hayo mafuriko........

Unajua mi nashaanga bado najari kuutafaka umri wa Richbest na ninaishia kugundua kuwa yawezekana that was his fast g to do, so alivyo mkuta na tatizo hilo akadhani wote mko hivyo.
 
asanteni wadau wote ila hainuki ila ni mazito tu nlikua na wasiwasi maana nliwahi kuskia kuwa binti akifanya mapenz na m2 mwingine ukija mwingine utakuta uchafu wa jamaa ndo nlikuwa namulika mwizi
Teh mkuu hapo hakuna mwizi meeen....

Ni suala la usafi au la kiafya tu hilo.....
 
Back
Top Bottom