1.Je ni kwa kiasi gani mwanaume aliyefiti[sexualy] akafanya per one match? yaan mara ngapi?
2.je ni kwa kiasi gani[percentage wise] mwanaume aliyefiti hushindwa kusababisha mimba?
Hata kwa mara moja mwanaume anaweza kufanya mimba ilimrad huyo mschana yupo kwenye "polyferation phase" yani siku kumi na nne baada ya bleeding pia kama spam zako ni hai na nizakutosha kwa kufanya mimba ni lazima ziwe "5 ml".