Je, ni kwa kiwango gani afya zetu zinahatarishwa na bidhaa za viwandani?

Je, ni kwa kiwango gani afya zetu zinahatarishwa na bidhaa za viwandani?

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Katika sekta ya afya kuna mtaalamu Professor Janabi, ambae mara nyingi anaponda ulaji wa misosi ya kawaida lakini hadikiki akikemea dhidi ya bidhaa hafifu ama bidhaa haribifu kwa afya ama kutoa angalizo maridhawa.

Je, maji, juice, energy drink na uholela wa uzalishaji je sio hatarishi?

Kwenu wa afya

Chief Wadiz
 
Mbona anakemea Kila siku kuhusu soda na bidhaa zingine za viwandani
Halafu hawezi kuongea Kila kitu mengine na wewe unaweza kuongea
 
Kwa mimi nafahamu kila kitu kikizidi ndiyo kinakuwa na madhara, hizo soda, juice, energy drink nk. zikitumiwa kupita kawaida ni lazima italeta madhara kwa afya ya mwanadamu
 
Back
Top Bottom